Mwongozo Maalum Kutoka Kwa Madaktari Bingwa Wa Ngozi
Jitahidi upate walau viwili kati ya hivi
Tatizo kubwa ni kwamba
Bidhaa nyingi utaishia kupata kimoja tuu usipokua makini
Jitahidi upate hivi vyote
Tatizo hapa ni kwamba vipodozi vingi hua vina Ceramide NP pekee
Hapa vitamin C isikose japo unaweza kuongeza na vitamin E
Tatizo hapa ni kwamba Sio vitamin C zote zinafaa kuna aina ya vitamin C ya bei rahisi ukiuziwa itakuwasha na kukuharibu zaidi
Hapa usikose hyaluronic acid pia kama ngozi yako inaruhusu unaweza kuongeza
Hyaluronic acid zipo zaidi ya aina 4 unatakiwa upate ambayo inaweza kupenyeza unyevu ndani kabisa kwenye ngozi
Tatizo inayopatikana sana kwa urahisi na ndio ya bei rahisi ni ile inayoweka unyevu juu juu tuu ya ngozi
Utazunguka Maduka Mengi makubwa ya vipodozi
Sanasana utaishia kufungiwa mzigo wa gharama wa vipodozi zaidi ya 10
Na bado vitakua havijatimia ukaishia kupoteza muda na pesa
Kuna bidhaa chache sana ambazo zimekamilika
Kwenye hatua zote 4
Mfano ni hii bidhaa inaitwa
SKNFX Baobab skin barrier repir gel
Ni wakati sasa wa kuacha kununua vipodozi
Kisa vimesifiwa sana mtandaoni
Na kuanza kufata uhalisia na sayansi inavyosema
Kwa msaada na uchunguzi zaidi unaweza kufika ofisini kwetu Kariakoo Dar Es Salaam[0694655607]
SKNFX @2026