MAKUNDI 04 YA VIAMBATA VYA KUTUMIA ILI KUJENGA MSINGI IMARA WA NGOZI YAKO

Mwongozo Maalum Kutoka Kwa Madaktari Bingwa Wa Ngozi

1.Viambata Vya Kutuliza Ngozi

Jitahidi upate walau viwili kati ya hivi

  • aloe vera
  • panthenol
  • b glucan
  • centela asciatica etc

Tatizo kubwa ni kwamba

Bidhaa nyingi utaishia kupata kimoja tuu usipokua makini

2.Viambata Vya Kujenga Msingi wa ngozi

Jitahidi upate hivi vyote

  • Ceramide NP,AP,EOP
  • Cholesterol
  • Lipids

Tatizo hapa ni kwamba vipodozi vingi hua vina Ceramide NP pekee

3.Viambata vya Kuulinda msingi wa ngozi

Hapa vitamin C isikose japo unaweza kuongeza na vitamin E

Tatizo hapa ni kwamba Sio vitamin C zote zinafaa kuna aina ya vitamin C ya bei rahisi ukiuziwa itakuwasha na kukuharibu zaidi

4.Viambata vya Kurejesha unyevu kwenye Ngozi

Hapa usikose hyaluronic acid pia kama ngozi yako inaruhusu unaweza kuongeza

  • Glycerin
  • Petroleum jelly

Hyaluronic acid zipo zaidi ya aina 4 unatakiwa upate ambayo inaweza kupenyeza unyevu ndani kabisa kwenye ngozi

Tatizo inayopatikana sana kwa urahisi na ndio ya bei rahisi ni ile inayoweka unyevu juu juu tuu ya ngozi

Ili Uweze kufahamu Kundi linalokufaa Zaidi Ni Lazima Ujue Msingi umeharibika kiasi gani

Kuna Njia mbili za kukusaidia kujua msingi umeharibika Kiasi gani

1.Kuangalia Dalili ulizonazo

2.Kupima ngozi

Lakini namna bora zaidi ni kutumia njia zote mbilii kwa pamoja

Nimekutumia pia meseji whatsapp

Kama Unahitaji Msaada Zaidi

SKNFX @2026