HATUA 4 MUHIMU ZA KUFUATA ILI KUREJESHA ULINZI WA NGOZI YAKO

Mwongozo Maalum Kutoka Kwa Madaktari Bingwa Wa Ngozi

Hatua Ya Kwanza

Kuituliza Ngozi [Skin Calming]

Jitahidi upate walau viwili kati ya hivi

  • aloe vera
  • panthenol
  • b glucan
  • centela asciatica etc

Tatizo kubwa ni kwamba

Bidhaa nyingi utaishia kupata kimoja tuu usipokua makini

Hatua Ya Pili

Kujenga Upya Ukuta Wa Ngozi [Lipid Wall Rebuilding]

Jitahidi upate hivi vyote

  • Ceramide NP,AP,EOP
  • Cholesterol
  • Lipids

Tatizo hapa ni kwamba vipodozi vingi hua vina Ceramide NP pekee

Hatua Ya Tatu

Kuulinda Ukuta Ulioujenga [Preventing damage by Oxidative stress]

Hapa vitamin C isikose japo unaweza kuongeza na vitamin E

Tatizo hapa ni kwamba Sio vitamin C zote zinafaa kuna aina ya vitamin C ya bei rahisi ukiuziwa itakuwasha na kukuharibu zaidi

Hatua Ya Mwisho

Kurejesha unyevu kwenye Ngozi [Restoring water hydration]

Hapa usikose hyaluronic acid pia kama ngozi yako inaruhusu unaweza kuongeza

  • Glycerin
  • Petroleum jelly

Hyaluronic acid zipo zaidi ya aina 4 unatakiwa upate ambayo inaweza kupenyeza unyevu ndani kabisa kwenye ngozi

Tatizo inayopatikana sana kwa urahisi na ndio ya bei rahisi ni ile inayoweka unyevu juu juu tuu ya ngozi

HITIMISHO

Unaweza Ukawa Na Pesa Lakini Kuvipata hivi vipodozi sahihi vilivyotajwa Ikawa Ni Ngumu

Hivi 05 ni baadhi ya vipodozi ambavyo walau vinaweza kukusaidia

  1. Anua rice and ceramide serum 65,000/=
  2. Cerave moisturizing cream 85,000/=
  3. Estelin Ceramides 30,000/=
  4. Dr. Jart+ Ceramidin Cream 90,000/=
  5. La Roche-Posay Cicaplast Baume B5

Vipodozi hivyo 05 vinafanya kazi vizuri lakini vingi havijatimia vinakosa baadhi ya viambata sahihi

Ndio maana unaweza kuchelewa sana kupata matokeo mazuri au usipate kabisa

SULUHISHO

Kama unahitaji kipodozi kimoja tuu

Ambacho kimetimia yani 100/100

Unaweza kuicheki hii bidhaa mpya kutoka SKNFX

Inaitwa SKNFX BAOBAB BARRIER REPAIR

SKNFX BAOBAB BARRIER REPAIR GEL

Hii ni Maalum Kwa Mazingira Yote Ya Africa

Kwasababu
Ina viambata vyote muhimu 

Lakini kubwa Zaidi Imetengenezwa kutokana na mmea wa MBUYU [Baobab]

Mmea ambao unajulikana kwa kuhimili mazingira magumu ya jua kali ukame n.k

Na mmea huu unapatikana AFRICA pekee

SKNFX @2026