SKNFX KOREA

Tibu Zaidi Ya Changamoto 5 Za Ngozi Kwa Kupaka Mask Hii Tuu Kabla Ya Kulala

Bado Unateseka Na Hizi Changamoto Za Ngozi??

Usiendelee kuteseka zaidi,

Na kupoteza pesa kwenye vipodozi vikali na vya gharama,

Vyenye madhara makubwa kiafya bila matokeo yoyote.

Hili Ndilo Suluhisho Pekee Unalohitaji

Watu 97000+ Wanaitumia Dunia Kote

Faida 6 Za Kutumia Mask hii ya SKNFX

  1. Kuondoa madoa na makovu ya chunusi
  2. Kuondoa mikunjo
  3. Kukupa Rangi moja
  4. Ngozi ya kung’aa glassy skin
  5. Kuipa ngozi unyevunyevu [moisture]
  6. Kung’arisha ngozi bila kuchubua

OFFA YA LEO

Kopo moja 25,000/= Tuu

Badala ya 45,000/=

Usafiri Ni Buree

Kopo moja Unatumia Miezi 2

Ina Viambata 5 Vilivyodhibitika Kisayansi

Hizi Ndio Sababu 7 Wanawake wengi wanatumia Mask hii kutoka korea

  1. Inakupa matokeo haraka [asubuhi tuu unaanza kuona mabadiriko]
  2. Inakupunguzia mzigo wa kununua vipodozi vingi
  3. Rahisi sana kuitumia ni dk moja tuu unakua umemaliza
  4. Gharama nafuu sana
  5. Haichubui ngozi
  6. Inafaa kwa ngozi aina zote
  7. Inasaidia kudhibiti zaidi ya changamoto 7 za ngozi

Baadhi ya Wateja Wetu Walikua Na Haya Yakusema

Jinsi Ya Kutumia

  1. Paka usoni kwa kutumia brush yake maalum
  2. Subiri dk 15 ikauke baada ya hapo unaweza kulala
  3. Asubuhi ukiamka utaibandua usoni

NOTE
Haupaki kwenye macho

Pia haichafui mto au kitanda

Tumia mara 3 hadi 4 kwa wiki sio kila siku

OFFA YA LEO

Kopo moja 25,000/= Tuu

Badala ya 45,000/=

Usafiri Ni Buree

Kopo moja Unatumia Miezi 2

Tunapatikana

Kariakoo[Dar Es Salaam]
Kariakoo Na Jangwani

0714665114