Inakua rahisi kuunguzwa na jua na kua nyekundu
Lakini pia
hupoteza maji kirahisi na kua kavu
Ukavu huo
hufanya Ngozi iwe na mikunjo na kufubaa
Pia huifanya izalishe mafuta mengi zaidi
Ili maji yasiendelee kupotea
Na kwasababu haina ulinzi
Inakua kama kidonda kilicho wazi
Wadudu huzaliana
Na kusababisha chunusi,mba na utangotango
Ukipaka chochote unakua kama umetia chumvi kwenye kidonda
Inawasha na kuchomachoma
Na mwisho wa siku
Inazalisha madoa zaidi ili kujilinda
Unakua na mabakamabaka usoni
Au rangi mbili