Kama una chunusi, madoa, wekundu au tatizo lolote la ngozi…
Kuosha uso kwa sabuni/cleanser kali
Ni sawa na kuosha kidonda kwa sabuni ya kawaida.
Badala ya kupona kinazidi kuchimbika.
Na hicho ndicho hutokea
Unapoosha uso na sabuni/cleanser zisizofaa
Watu wengi
Hutumia sabuni/cleanser zinazotoa mapovu mengi
Bila kujua kwamba
Hizo cleanser/sabuni ili zitoe povu la kutosha
Hujazwa viambata vinavyotumika pia kwenye sabuni za kufulia nguo
Sasa jiulize
Kitu kinaondoa madoa kwenye jeans wewe unaoshea uso!!!
Na unapozitumia
Ngozi inakua kavu,inakakamaa na mafuta yanakauka
Unadhani kweli Vinafanya kazi
Kumbe Vinaharibu Ngozi yakokimyakimya bila we kujua
Na kupelekea ata vipodozi vyako vya gharama visifanye kazi
Na kila siku unavyozidi kuvitumia
Ngozi pia inazidi kuharibika kimyakimya
Na itafika siku hakuna kipodozi kitaweza kukusaidia
Sasa usisubiri mpaka ufike huko!!!
Ndio maana ili kukusaidia
Tuliamua Kuchunguza cleanser zaidi ya 100
Kutoka makampuni mbalimbali
Na tulifanikiwa kupata hii moja
Ambayo ndio tunaitumia pia kwenye clinic yetu
Ina uwezo mzuri wa kusafisha Ngozi bila kuiharibu
Tofauti na nyingine nyingi
Ambazo husafisha huku zikiiharibu Ngozi kimyakimya
Kama Upo Dar Es Salaam
Ukiijia mzigo wako ofisini kwetu kariakoo
Utapata Ofa Ya Kupimwa Ngozi Buree
Ambayo kikawaida hua ni 35,000/=
So utakua umeua ndege wawili kwa jiwe moja
Tazama mashine yetu ya kupimia ngozi inavyofanya kazi
KAMA UNAHITAJI BIDHAA HII LEO AU KESHO
KWA 20,000/= TUU