SKNFX

Hivi ndio Vipodozi Vinavyopendekezwa Na Wataalamu Duniani Kwa Kila Tatizo La Ngozi

1.Madoa
Tumia vitamin c na niacinamide 45,000/=

2.Wekundu usoni
Tumia penthanol,b glucan na ceramides 55,000/=

3.Ngozi sensitive
Tumia ceramides + cholesterol + lipids 55,000/=

4.Umeungua na cream
Tumia ceramides + penthanol 45,000/=

5.Uso wa mafuta
Tumia niacinamide 35,000/=

6.Uso mkavu
Tumia hyaluronic acid 35,000/=

7.Ngozi imefubaa
Tumia vitamin C 35,000/=

8.Unataka kung’aa
Tumia vitamin c na niacinamide 45,000/=

9.Mikunjo
tumia peptides 45,000/=

10.Chunusi
Tumia pethanol,b glucan na benzoyl peroxide 55,000/=

Tatizo Ukiwa Na Shida Zaidi Ya Moja

Utajikuta unalazimika kutumia zaidi ya 200,000 hadi 300,000

Ili upone vizuri

Suluhisho Rahisi Ni Hii bidhaa ya Korea

Inaweza kufanya hizo kazi zote

Kwa ufanisi mkubwa bila kukuchubua

Haijalishi una Ngozi ya aina gani

Tunapatikana

Kariakoo[Dar Es Salaam]
Kariakoo Na Jangwani

0714665114