Shida ya hivi vipodozi ni gharama sana
Ukibahatika kuvipata vyote sio chini ya 100,000/=
Lakini Hiyo siyo shida kubwa
Shida kubwa Zaidi
Ni kuvipata vikiwa katika muundo na kiwango sahihi
Unahitaji upate ceramide aina zote 3
Yani AP NP EOP
Lakini maduka mengi utapata moja tuu ceramide NP
Ukijichanganya kwenye vitamin C
ndio shida
Utapewa vitamin C ile kali itakuwasha hautoamini
Hapo bado hatujazungumzia hyaluronic acid,niacinamide,penthanol n.k
So unaweza ukawa na pesa
Lakini ukazunguka maduka makubwa ya vipodozi
Na bado usipate kitu sahihi
Sana sana
utaishia kubebeshwa mzigo wa vipodozi zaidi ya 10
Na bado vitakua havijatimia
Na hii ndio sababu
Haya matatizo yanaonekana ni sugu sana kwa Tanzania