Kama unahitaji kipodozi kimoja tuu
Ambacho kimetimia yani 100/100
Unaweza kuicheki hii bidhaa mpya kutoka SKNFX
Inaitwa SKNFX BAOBAB BARRIER REPAIR
Hii ni Maalum Kwa Mazingira Yote Ya Africa
Kwasababu
Ina viambata vyote muhimu
Lakini kubwa Zaidi Imetengenezwa kutokana na mmea wa MBUYU [Baobab]
Mmea ambao unajulikana kwa kuhimili mazingira magumu ya jua kali ukame n.k
Na mmea huu unapatikana AFRICA pekee