Basi shida Yako Sio Madoa,chunusi wala Wekundu Ila Ni Msingi Wa Ngozi Yako Umeharibika
Utakua unahangaika kujenga nyumba Ya gharama kwenye msingi mbovu
1.Ceramides,lipids,cholesterol
huondoa wekundu na kutibu sensitive skin na walio ungua na cream
2.Hyaluronic Acid
Huongeza unyevu kwenye ngozi kavu
3.Niacinamide
Hung’arisha ngozi na kubalance mafuta
4.Vitamin C
Hung’arisha ngozi Iliyofubaa na kufuta madoa
5.Pethanol,B glucan
Hutuliza na kupoza ngozi na kusaidia kutibu chunusi
6.Peptides
Huondoa mikunjo usoni
1.Haichubui
2.Anatumia Mtu Mwenye Ngozi ya aina yoyote ile
3.Inaokoa muda na pesa
Unapaka usoni usiku au mchana
Ukihitaji matokeo ya haraka unaweza kupaka mara mbili kwa siku
Bei Ya Ofa Ni 30,000 Tuu
Badala Ya 45,000/=
Unapata Chupa Ya Kutumia Miezi 2 Hadi 3
Sabuni Hii Itakusaidia
1.Kufyonza Sumu Za Vipodozi Vikali Usoni
2.Kupunguza mafuta na chunusi
3.Kung’arisha ngozi
Bei Yake Hua ni 25,000/=
Lakini Kama Ukiwahi Utapewa BUREE!!!