1.Ukipigwa jua tuu wekundu unaongezeka
2.Unatumia face cream inakusaidia lakini ukiacha tuu wekundu unarudi na Weusi unaongezeka
3.Uso una washa sana ukipaka chochote
4.Ngozi imekua Sensitive
5.Unapaka face cream inakukubali mwanzoni tuu alaf baadae inakukataa
Hizo ni dalili kwamba msingi wa Ngozi yako umeharibika