Wengi hudhani kwamba kipodozi walichonunua
Kimewakataa au ni feki
Hasa Kama cha mwanzo kili msaidia
Bila kujua kwamba kilikua kinaficha tuu Tatizo
Huku kikitengeneza Tatizo sugu zaidi Kimyakimya
Hurudi dukani na kuuziwa kipodozi kingine
Kikali zaidi
Nacho hufanya vizuri mwanzoni
Lakini huharibu zaidi ngozi
Matokeo yake ndio wekundu/weusi unaanza kua sugu