KAMA UNA BAADHI YA HIZI DALILI 05 TATIZO LAKO SIO HUO WEKUNDU/WEUSI UNAO UONA KWA NJE TUU!!!

  1. Ukipigwa Jua Kidogo Wekundu unaongezeka??
  2. Unatumia cream wekundu unapungua ukiacha tuu unarudi tena??
  3. Unapaka Kipodozi kinakusaidia mwanzoni baadae kinakukataa tatizo linarudi??
  4. Wakati mwingine ngozi inawasha na kuchomachoma??
  5. Wakati mwingine una chunusi,vipele,mba na utangotango ambao haueleweki

Kama Una Baadhi Ya Hizo Dalili 05

Tatizo Lako kubwa Sio huo Wekundu/Weusi unao uona kwa nje

Ila Ni Msingi Wa Ngozi Yako Ndio Umeharibika

KAMA UNATAKA MATIBABU SAHIHI

Njoo Upime Uso Kwanza Ujue Msingi wa ngozi yako umebomoka kiasi gani

Ukipima Uso

  • Utajua chanzo cha tatizo
  • Ukubwa Wa Tatizo
  • Vipodozi sahihi vya kutibu tatizo hilo
  • Vipodozi gan usitumie Kabisa
  • Utaokoa pesa kwenye kununua rundo la vipodozi ambavyo havikusaidii

UKIANZA MATIBABU NA VIPIMO SAHIHI MATOKEO NI UHAKIKA!!!

Unaweza Kusoma Story Ya Huyu Mteja Mabadiliko Aliyoyaona Ndani Ya siku 30!!

JUMAPILI HII 16/05/2026 TUNA OFA MAALUM YA KUPIMA USO KWA 10,000/= TUU BADALA YA 20,000/=

Pia Kuna Zawadi Ya Sabuni Maalum Kwa Watu 10 Tuu Watakao Wahi Zaidi

Sabuni Hii Itakusaidia 

1.Kufyonza Sumu Za Vipodozi Vikali Usoni

2.Kupunguza mafuta na chunusi

3.Kung’arisha ngozi

Bei Yake Hua ni 25,000/=

Lakini Kama Ukiwahi Utapewa BUREE!!!

OFA HII YA KUPIMA USO NI KWA DAR ES SALAAM PEKEE KAMA UPO MKOANI USIJISUMBUE KUWEKA ODA YAKO

Kama Unahitaji Ofa Hii YANI UNAWEZA KUFIKA KARIAKOO JUMAPILI HII 

 Bonyeza Hapo Chini Kuja Whatsapp

Upewe Maelekezo Namna Ya Kufika Ofisini KARIAKOO