Kuna uwezekano mkubwa
Vipodozi vingi unavyotumia na vinakusaidia haraka
Ndio vinavyozidi kukutengenezea Tatizo sugu kimyakimya bila wewe kujua
Na Ndio maana ukiacha tuu kuvipaka
Tatizo linarudi likiwa Sugu Zaidi
Bahati mbaya Zaidi umenasa kwenye mtego ambao hauwezi kutoka
Maana ukisema tuu uache kutumia hiyo cream ngozi inafubaa zaidi inakua nyeusi una kosa kujiamini