Kama Upo Nje Ya Dar Es Salaam
Utatuma Kwanza 5000 alaf inayobaki yani 30,000/= Utamalizia ukishapokea mzigo
Tafadhali sana Kama unahisi au una wasiwasi kwamba utatapeliwa ata hiyo 5000 USIWEKE ODA ili uepushe usumbufu usiokua wa lazima KWASABABU MKOANI HATUTUMI MZIGO KAMA MTEJA HAJALIPIA HIYO 5000