1.Vipodozi Sahihi Vya Kutumia Kulingana Na Aina Ya Ngozi Na Tatizo La Ngozi

2.Viambata Ambavyo Hutakiwi Kuvitumia kwa Pamoja

3.Viambata Ambavyo Hutakiwi Kabisa Kuvitumia

4.Dalili Za Haraka Anazopata mtu Anaetumia Vipodozi Vikali Vilivyokatazwa

5.Viambata 6 Muhimu Ambavyo vikitumika vizuri Vinaweza kutatua karibia changamoto zote Za Ngozi

Tatizo Kubwa Ni Kwamba Ni ngumu sana kupata viambata hivyo vyote katika kipodozi kimoja

Lakini Pia kuvipata katika kiwango kinachoruhusiwa na madaktari ili kukupa matokeo ya kudumu

Pia ata ukifanikiwa kuvipata ni kwa gharama kubwa

SULUHISHO

Kama unatamani kupata viambata vyote 6 na zaidi

  1. Ndani ya kipodozi kimoja tuu
  2. Vikiwa katika kiwango kinachoshauriwa na madaktari ili kukupa matokeo
  3. Vinavyoweza kutatua zaidi ya changamoto 5 za ngozi
  4. Kwa gharama nafuu

Unaweza kutazama hiki kipodozi maalum kutoka korea kunachotumiwa sana na madaktari bingwa wa ngozi lakini pia kina mawakala wake hapa Tanzania

@WHO 2025