Kulinda Ngozi isipoteze maji
Usifanye Hili Kosa Linalofanywa Na Wengi Wakidhani Wanafuta Madoa Kumbe Wanatengeneza Madoa Sugu Zaidi!!
Chunusi haiishii tu kutengeneza kidonda juu ya ngozi.
Pia huharibu msingi wa Ngozi yako na kuondoa ulinzi wa asili wa ngozi.!!
Inayofanya kazi kuu 02
Kulinda Ngozi isipoteze maji
Kuzuia wadudu na uchafu kuingia ndani ya Ngozi
Sasa tatizo ni kwamba kila siku unaubomoa ukuta huo na kupunguza ulinzi wa ngozi yako bila kujua.
Hujaribu Kujilinda Kwa Kuongeza Uzalishaji Wa
MELANININa Hapo Ndio Tatizo Linapoanzia!!!
Pia hufanya kazi ya kuipa Ngozi rangi yake nyeusi ya asili
Hivyo inapoongezeka sana sehemu moja…
Eneo hilo pia Weusi huongezeka na kuonekana kama doa usoni.
Ni dalili kwamba Ngozi yako inapambana kujilinda kutokea Ndani!!
Ni kuhangaika kufuta madoa kwa juu tuu kwa kutumia vipodozi vya kufuta madoa
Wanasahau kwamba Bila kurejesha ulinzi wa Ngozi
Ngozi itaendelea kuzalisha MELANIN nyingi zaidi ili kujilinda
Na Madoa yataendelea kusumbua
Madoa hayaishi
Madoa yanapungua lakini ukiacha cream yanarudi
Uso unawasha au kuchomachoma
Ngozi inakuwa kavu na kukakamaa
Chunusi na vipele vinajirudia
Weusi unaongezeka ukiacha cream
Ngozi inafubaa na kukosa nuru
Unaanza kudhani una matatizo mengi sana usoni lakini kumbe ulinzi wa ngozi yako umeharibika.
Ujenge tena ulinzi wa ngozi ulioharibiwa na chunusi
Uisaidie ngozi izalishe kiwango sahihi cha melanin
Uondoe taratibu melanin iliyokusanyika tayari juu ya Ngozi na kuonekana kama madoa
Madoa Yataisha Haraka Bila Kujichubua
Utalazimika kununua vipodozi 03 au zaidi!!
Ambavyo Vitakua Ni gharama kubwa