KILA SIKU UNABADILI VIPODOZI LAKINI BADO HAUPATI MATOKEO MAZURI??

Vipodozi vya kukusaidia vitaongeza zaidi tatizo
kama bado unafanya hili kosa 01 unapo osha uso wako
🔥🔥🔥

Wengi wanapoona baadhi ya hizi dalili 06 hujidanganya kwamba hiyo sabuni ndio inafanya kazi vizuri zaidi

✅ Uso unakua mkavu

✅ Mafuta yanakauka

✅ Ngozi inakua ngumu sio laini

✅ Muda mwingine hadi inakakamaa

✅ Unahisi hadi ngozi inavuta

✅ Muda mwingine hadi unawashwa na kuchomwachomwa

Hizo ni dalili kwamba unaharibu uso wako kwa kuondoa ulinzi juu ya Ngozi yako bila we kujua

Ngozi inapobaki bila ulinzi

Vipodozi vilivyotakiwa kukusaidia huingia ndani zaidi

Ambako havitakiwi kufika na kusababisha matatizo zaidi!!!

HIVYO UNAPOPAKA VIPODOZI VYA KUKUSAIDIA

UNAKUA KAMA UNAZIMA MOTO KWA PETROLI!!!

Mwisho Wa siku Unajikuta Umenasa Kwenye huu mtego bila kujua

1️⃣ Unaosha uso na sabuni ambayo sio sahihi

2️⃣ Unaondoa ulinzi wa ngozi bila kujua

3️⃣ Vipodozi vinaingia ambako havitakiwi kufika

4️⃣ Matatizo yanaongezeka au hayaishi

5️⃣ Unabadilisha kipodozi ukidhani ndicho tatizo

Usiendelee Kuharibu Uso Wako Kila Siku Tumia Hii AMINO ACID CLEANSER

Itakusaidia Kusafisha ngozi yako bila kuibomoa zaidi matokeo yake

✔ Chunusi na madoa vitaisha kwa urahisi

✔ Weusi mashavuni na chini ya macho utaisha

✔ Wekundu mashavuni pia utaisha

✔ Mikunjo itapungua

✔Utabaki na rangi moja yenye afya

Usiamini Maneno Yetu Tuu !!! Hawa Ni baadhi Ya Wateja Wetu

Hivi Ndio Vitu 05 Vinavyoifanya Bidhaa Hii Kukupa Matokeo Ya Uhakika

1.Ceramides

Hujenga upya ngozi iliyoharibiwa na chunusi vipodozi,jua n.k

2.Hyaluronic Acid

Huongeza unyevu kwenye ngozi kavu

3.Niacinamide

Hung’arisha ngozi na kubalance mafuta

4.Pethanol

Hutuliza na kupoza ngozi na kusaidia kutibu chunusi

5.Amino acid

Husafisha ngozi kwa upole

Hawa Ni Wateja Wetu Wengine Walikua Na Haya Ya Kusema

Hizi Ndio Sababu 4 Wanawake wengi wanatumia bidhaa hii

1.Haichubui

Hivyo unatumia bila wasiwasi wa kuharibu ngozi yako kimyakimya

2.Haibagui ngozi

Haijalishi una ngozi ya mafuta,sensitive,kavu au ya chunusi unatumia bila wasiwasi

3.Inaokoa sana Muda

Hasa kama unatamani kutunza ngozi yako lakini huna muda wa kukaa kupaka mavipodozi mengi

4.Inaokoa sana Pesa

Ina viambata vingi kiasi kwamba ukisema ununue kila kimoja peke yake utajikuta unanunua bidhaa zaidi ya 5

Jinsi Ya Kutumia

  1. Lowesha uso
  2. Tumia kiasi kidogo cha cleanser
  3. Sugua kwa upole sekunde 20–30
  4. Osha kwa maji
  5. Kausha kwa upole
  6. Paka mafuta yako unayotumia kila siku

Asubuhi na Jioni

OFA YA LEO

Chupa 01 ni 20,000/=

Chupa 02 Ni 30,000/=