KILA SIKU UNAFANYA HILI KOSA 01 BILA KUJUA UKIDHANI UNATIBU TATIZO

Lakini Kumbe Unaharibu Hiki Kitu Kimoja Muhimu Sana Kwenye Ngozi Hali inayopelekea Ata Vipodozi Sahihi Vikuletee Madhara Zaidi

Juu ya Ngozi kuna MSINGI maalum ambao ni kama ngao inayofanya kazi kuu 02

✅Kulinda Ngozi isipoteze maji

✅ Kuzuia wadudu na uchafu kuingia ndani ya Ngozi

Sasa tatizo ni kwamba kila siku unaubomoa MSINGI huo bila kujua.

⚠️ Hasa unapopaka na kutumia vipodozi ambavyo sio sahihi, mfano:

Mafuta
Lotion
Cream
 Serum
Scrub
Sunscreen
Tube za pharmacy n.k.

MSINGI huu unapobomoka

Ngozi inapoteza maji inakua kavu ina kakamaa na inakua rahisi kutengeneza mikunjo

Wadudu, uchafu vinaingia ndani na kusababisha chunusi,mba,utangotango n.k

Hata Baadhi ya vipodozi vilivyotakiwa kukusaidia vinaingia ndani zaidi na kukuongezea matatizo!!

Na unapovipaka unakuwa kama unazima moto kwa petroli.

Matokeo yake:

1.Unawashwa na kuchomwachomwa zaidi

2.Ngozi inakuwa kavu na inakakamaa

3.Chunusi na vipele vya mara kwa mara

4.Madoa hayaishi

5.Mafuta yanazidi kuongezeka usoni

6.Weusi unaongezeka ukiacha cream

7.Wekundu unarudi kila mara

😔 Matokeo yake ngozi inafubaa na inakosa nuru

Unaanza kudhani una matatizo mengi sana usoni lakini kumbe una tatizo moja tuu

MSINGI unaolinda ngozi yako umebomoka

Bahati mbaya unaongeza tatizo zaidi bila kujua unapokimbilia kubadili cream kila mara kwasababu

Kwa sababu wauza vipodozi wengi wataishia kukuambia:

🔴 Una chunusi? Tumia hii kukausha.

🟤 Una madoa? Tumia hii kuyafuta.

🌡️ Una wekundu? Tumia hii kuuondoa.

💧 Una mafuta mengi? Tumia hii kuyakausha.

👵 Una mikunjo? Tumia hii.

⚫ Una weusi sugu? Tumia hii.

❌ Lakini hawajui kwamba hayo yote si matatizo tofauti.

Hizo zote ni dalili za tatizo moja kubwa ulilonalo.

Yaani MSINGI wa ngozi yako umeharibika.

Hivyo Unajikuta una rundo la vipodozi ambavyo vinaenda kubomoa zaidi Ngozi yako
na kukuongeza tatizo

Ukweli ni kwamba hakuna kipodozi kitakusaidia usipoanza kwa kujenga upya MSINGI huo unaolinda Ngozi yako

🧱 Ukijenga upya MSINGI huo:

1.Ngozi itaweza kujilinda dhidi ya uchafu, wadudu na vitu vingine vya nje.

2.Vipodozi havitaingia ndani zaidi na kukuletea madhara yasiyohitajika.

✨ Ngozi itapata nafasi ya kupumua na kujitibia yenyewe.

Kwa sababu hautakuwa unaishambulia kila siku kama zamani.

Ili usiendelee Kuharibu Ngozi Yako Kila Siku Bila Kujua Ukidhani Unatibu Tatizo!!!

Tumekuandalia LIST YA BUREE ya Viambata 06 Muhimu Vya Kutumia Ili Kujenga MSINGI WA NGOZI YAKO