Chunusi zinajirudia mara kwa mara
Madoa yamegoma kuisha
Uso una rangi mbili zisizofanana
Wekundu hauishi usoni
Ngozi imefubaa na imekosa nuru
Ngozi ni kavu, ngumu na imekakamaa
Mikunjo inakufanya uonekane mzee kabla ya umri wako
Kila unachopaka kinakuwasha au kukuchoma