Kwa sababu wauza vipodozi wengi wataishia kukuambia:
🔴 Una chunusi? Tumia hii kukausha.
🟤 Una madoa? Tumia hii kuyafuta.
🌡️ Una wekundu? Tumia hii kuuondoa.
💧 Una mafuta mengi? Tumia hii kuyakausha.
👵 Una mikunjo? Tumia hii.
⚫ Una weusi sugu? Tumia hii.
❌ Lakini hawajui kwamba hayo yote si matatizo tofauti.
Hizo zote ni dalili za tatizo moja kubwa ulilonalo.
Yaani ukuta unaolinda ngozi yako umeharibika.