Ukipigwa Jua tuu unapata wekundu au wekundu unaongezeka
Unapaka facecream wekundu unapungua lakini ukiacha tuu unarudi
Wekundu hauishi usoni
Ngozi imekua kavu sana na imekakamaa
Mikunjo inakufanya uonekane mzee kabla ya umri wako
Kila unachopaka kinakuwasha au kukuchoma