01 Chunusi na vipele vya mara kwa mara
Kwa sababu ngozi inakuwa haina ulinzi, hivyo wadudu huingia kwa urahisi.
Ili uweze kupata suluhisho sahihi zaidi linalokufaa
Swali 1 kati ya 2
Unaweza kuchagua zaidi ya moja
Kutokana na dalili ulizochagua
Ukuta huo unapobomoka husababisha mambo 03
Kwa sababu ngozi inakuwa haina ulinzi, hivyo wadudu huingia kwa urahisi.
Kwa sababu bila ulinzi juu ya ngozi, vipodozi huingia ndani zaidi ya ngozi hata ambako havitakiwi kufika na kukusababishia muwasho na wekundu.
Ukuta unaolinda ngozi hufanya kazi kama kifuniko kinachozuia maji kupotea. Hivyo unapokuwa umebomoka, maji hupotea kwa urahisi.
Swali 2 kati ya 2
Kabla hujajua kosa hilo, jibu swali hili
Sasa kwanini ukuta unaolinda ngozi yako ukibomoka, unakimbilia kuupaka rangi tuu?
Kwa kuhangaika na cream, scrub, lotion, sabuni na serum za kung’arisha ngozi, kufuta madoa n.k.
Badala ya kuujenga upya?
Ili kujenga upya ukuta unaolinda ngozi yako unahitaji vitu 04 tuu
Ni sawa tuu na kujenga ukuta wa nyumba
Unahitaji hivi viambata vifuatavyo
Ceramides kwenye ukuta wa ngozi ni sawa na matofali kwenye ukuta wa nyumba.
Cholesterol ni sawa na cement. Hufanya kazi ya kushikilia matofali ya kwenye ngozi, yani ceramides, yawe imara.
Hyaluronic acid ni sawa na maji. Husaidia cement na matofali, yani cholesterol na ceramides, kushikana vizuri.
Panthenol ndio fundi mwenyewe. Husaidia kupanga kila kitu kinapotakiwa na kuchanganya cement na maji pamoja.
Kama unajiuliza utapata wapi hivyo viambata vyote…
Ukisema ununue kila kiambata pekee yake utatumia zaidi ya 100,000/=
Ngozi itakuwa na unyevu wa kutosha na itaacha kukaza na kukakamaa.
Ukavu, kuwasha na kuchomachoma kutapungua na kuisha kabisa.
Ngozi itakuwa soft na utaweza kupaka vipodozi vingine bila shida.
Ngozi itaanza kuwa na rangi moja ya kuvutia, yenye mng’ao wa asili.
Bado unahisi matokeo haya ni ya uongo???






Bei yake huwa ni 65,000/=
Pia watu 10 watakao wahi watapewa bonge la zawadi.
Facewash hii itakusaidia
Yani kopo moja unatumia miezi 02
Yani ulipe 35,000/= tuu badala ya 65,000/= na upate zawadi ya facewash buree.