MFUMO WA HATUA 03

ILI UTIBU MADOA NA YASIRUDI TENA UNATAKIWA KUFANYA HAYA MAMBO 03

Hatua tatu za kutibu madoa, kurekebisha ngozi na kuilinda dhidi ya jua
01

TUMIA VIPODOZI VYA KUFUTA MADOA YALIYOPO

Tumia vipodozi vyenye:

Tranexamic Acid 4-Butylresorcinol Alpha Arbutin Niacinamide Vitamin C
02

TIBU NA JENGA UPYA NGOZI

Tumia vipodozi vyenye:

Ceramides Cholesterol Hyaluronic Acid Panthenol Beta-Glucan
03

LINDA NGOZI ISIHARIBIWE TENA

Tumia sunscreen kila siku ili kulinda ngozi yako dhidi ya miale ya jua.

WATU WENGI HUDHANI KUFUTA MADOA PEKEE INATOSHA

Hupoteza muda kununua vipodozi vinavyofuta madoa haraka lakini husahau kutumia vipodozi vinavyoenda kutibu na kuijenga upya ngozi ili isizalishe madoa mapya

Matokeo yake madoa hayaishi na hata yakipungua baadaye yanarudi tena

SETI YA VITU 02

NDIO MAANA TUMEKUANDALIA HII SETI MAALUM YA VITU VIWILI YA KUFUTA MADOA HARAKA NDANI YA WIKI 02 TUU NA YASIRUDI TENA

Seti yenye Moisturizing Day Cream mbili na Whitening Night Cream mbili
☀️
02 MOISTURIZING
DAY CREAM
02 WHITENING
NIGHT CREAM

INA CREAM MAALUM YA USIKU Kwa ajili ya kufuta Madoa

Whitening Night Cream kwa ajili ya kufuta madoa

Cream hiyo inaviambat kama tranexamic acid, kojic acid na alpha albutin kwa ajili ya kufuta madoa

01 TRANEXAMIC ACID
02 KOJIC ACID
03 ALPHA ALBUTIN
☀️

INA CREAM YA MCHANA Kwa ajili ya kujenga upya ngozi na kuzuia isitengeneze madoa mapya

Moisturizing Day Cream kwa ajili ya kujenga upya ngozi

INA CREAM YA MCHANA Kwa ajili ya kujenga upya ngozi na kuzuia isitengeneze madoa mapya ina ceramide, centella, panthenol

01 CERAMIDE
02 CENTELLA
03 PANTHENOL

SETI HII YA VITU 02 INAPENDWA SANA KWASABABU

01

HAICHUBUI

02

INATUMIWA NA
NGOZI AINA ZOTE

UKIAGIZA LEO SETI HII UTAIPATA KWA 40,000/= TUU BADALA YA 65,000/=

SETI YA VITU 02
Moisturizing Day Cream mbili na Whitening Night Cream mbili
WATEJA 10 TUU

PIA WATEJA 10 WATAKAO WAHI WATAPEWA ZAWADI YA SUNSCREEN BUREE

Anua Zero-Cast Sunscreen zawadi ya buree
SUNSCREEN HII YA 35,000/= UTAPEWA BUREE KAMA ZAWADI UKIWAHI

Na hawa ni Baadhi Ya Watu Walioitumia

1/5
Testimonial ya mteja 1
Testimonial ya mteja 2
Testimonial ya mteja 3
Testimonial ya mteja 4
Testimonial ya mteja 5

OFA HII NI KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM TUU

BONYEZA HAPA KUAGIZA

TUNAPATIKANA

Kariakoo, Dar Es Salaam

Mtaa Wa Kariakoo Na Jangwani

0719 040 574

WhatsApp Na Kawaida