USIKURUPUKE KUNUNUA HIYO TUBE BILA KUFAHAMU HIVI VITU 08 MUHIMU

Darkspot Cream 7% Arbutin na 4% Tranexamic Acid
  1. Aina Ya Ngozi

  2. Kiwango Cha Unyevu Kwenye ngozi

  3. Kiwango Cha Mafuta Juu Na Ndani Ya Ngozi

  4. Uimara wa Ngozi

  5. Uwezo wa Kustahimili kipodozi hicho

  6. Kiwango Cha Wadudu Au Backteria Juu Ya Ngozi

  7. Umri Wa Ngozi Yako [Unaweza Kua una miaka 25 lakini ngozi ina miaka 55]

  8. Kiwango cha madoa chini Ya Ngozi

BAHATI MBAYA HIVYO VITU HUWEZI KUVIJUA KWA KUTUMIA MACHO TU NI LAZIMA UPIME USO KWANZA

Na Ndio maana sisi hua tunashauri uanze matibabu kwa kupima uso wako kwanza Uache kubahatisha

Kupima uso kwa kutumia mashine ya skin analysis

Kukimbilia Kutumia Vipodozi Bila Kupima Uso Ni Sawa Na Kutembea Gizani Bila Tochi utaishia kupotea tuu

USIKIMBILIE KUTUMIA HII TUBE BILA KUPIMA KWANZA USO WAKO INAWEZA ISIKUSAIDIE

Tazama Hizi video 02 kuona jinsi uso unavyopimwa

Video 01
Video 02
UKIFIKA OFISINI

UKIFIKA OFISINI KUPIMA NGOZI,HATUA HIZI NDIZO ZITAFUATWA

Process ni rahisi na inaanza kwa kuifahamu ngozi yako kabla ya kupewa ushauri.

01

Ngozi Yako Itapimwa

Ngozi yako itapimwa kwa kutumia mashine maalum ya kupima ngozi.

02

Utaelezewa Hali Ya Ngozi

Utaelezewa hali ya ngozi yako kutokana na taarifa zilizopatikana kwenye kipimo.

03

Utapewa Ushauri

Utapata ushauri kutoka kwa mtaalamu kuhusu vipodozi vinavyoendana na hali ya ngozi yako.

UKIANZA MATIBABU KWA KUPIMA USO MATOKEO NI UHAKIKA!!

Hawa Ni Baadhi Ya Watu Waliotumia Tube Hii Baada Ya Kupima Kwanza Ngozi Zao

Video 01
Video 02
Video 03
Video 04
1 / 4

Pia Baadhi Walikua Na Haya Ya Kusema

1 / 5

UNATAKA MATOKEO KAMA HAYO???

NJOO LEO OFISINI KARIAKOO, DAR UPIME USO KWA 15,000/= TUU

WATU 10 TUU

WATAKAO WAHI KESHO OFISINI KUPIMA NGOZI PIA WATAPEWA HII TUBE KIPOKO YA MADOA BUREE

BONYEZA HAPA KUJAZA FOMU UWAHI NAFASI
TUNAPATIKANA WAPI?

TUNAPATIKANA KARIAKOO, DAR ES SALAAM

Tumia ramani hapa chini kupata maelekezo ya moja kwa moja hadi ofisini kwetu.

MAHALI

Kariakoo, Dar es Salaam

Mtaa wa Kariakoo na Jangwani

MUDA WA KAZI

Saa 3:00 Asubuhi

Hadi saa 12:00 jioni

SIMU

0719 040 574

Bonyeza namba kupiga simu

PATA MAELEKEZO KWENYE RAMANI

Ramani itafunguka kwenye Google Maps