Muonekano wa kipimo cha ngozi kinapofanyika
NI SAWA NA
Utaishia kuharibu uso zaidi ukidhani unatibu tatizo.
Chunusi zinajirudia mara kwa mara
Madoa yamegoma kuisha
Na yakiisha, ukiacha tuu cream, yanarudi
Wekundu hauishi usoni
Hata ukipungua, ukiacha tuu cream, wekundu unarudi tena
Ukipigwa na jua kidogo tuu, wekundu unaongezeka zaidi
Uso una rangi mbili zisizofanana
Ngozi imefubaa na imekosa nuru
Mikunjo na makunyanzi yanakufanya uonekane mzee kabla ya umri wako
Uso ni mkavu sana hadi unakakamaa
Mafuta usoni hayaishi
HUPATI MATOKEO AU UNAISHIA:
Kuwashwa na kuchomachomwa
Uso kupata wekundu
Kupata chunusi, rashes na vipele zaidi
Kupoteza pesa huku ngozi ikizidi kuharibika
Unabaki kujiuliza:
“Ngozi yangu ina shida gani?
“Kwa nini kila kipodozi kinanikataa?
Ni kwa sababu unatibu ngozi yako kwa kubahatisha.
INATAKIWA UIJUE NGOZI YAKO NJE NA NDANI
Ni rahisi sana kuijua ngozi yako kwa nje.
Kwa sababu matatizo yaliyo juu ya ngozi kama chunusi, mikunjo na madoa yanaonekana kwa urahisi hata kwa macho ya kawaida.
Lakini mafanikio ya vipodozi vya kutibu matatizo hayo hutegemea hali ya ndani ya ngozi, yaani vitu kama:
Je, ngozi ni ya aina gani?
Je, ngozi ina unyevu wa kutosha?
Je, ngozi inazalisha mafuta kiasi gani?
Je, mafuta hayo yapo juu au ndani zaidi ya ngozi?
Je, ngozi ni imara?
Inaweza kuhimili hayo matibabu?
Kiwango au dozi gani ya vipodozi itaifaa?
Na vitu vingine vingi sana
Bila kufahamu taarifa hizo na nyinginezo nyingi, unaweza kujikuta hata kipodozi kizuri cha gharama kikakuharibu badala ya kukusaidia.
Bahati mbaya, taarifa zote hizo huwezi kuzifahamu kwa kuiangalia tuu ngozi kwa macho.
Hutakuwa na tofauti na mtu anayetembea gizani bila tochi.
Tazama baadhi ya video hapo chini uone jinsi kipimo kinavyofanyika, walau kwa ufupi.
Muonekano wa kipimo cha ngozi kinapofanyika
Baadhi ya hatua zinazopitiwa wakati wa kipimo
Telezesha kushoto kuona video nyingine →
Kipimo hakiumi na sehemu ya kupima pekee huchukua chini ya dakika 10.
Tube hii kawaida huuzwa 25,000/=
WEWE UTAPEWA BUREE
Zawadi hii ni kwa watu 10 wa kwanza watakaofika kupima uso kesho katika ofisi yetu Kariakoo, Dar es Salaam.
Tazama video hizi kwa ufupi uone uzoefu wao baada ya kutumia Tube Kiboko ya Madoa.
Uzoefu wa kwanza
Uzoefu wa pili
Uzoefu wa tatu
Telezesha kushoto kuona video nyingine →
Tube hii utapewa BUREE kama tu utakuwa miongoni mwa watu 10 wa kwanza watakaofika kupima uso kesho katika ofisi yetu Kariakoo, Dar es Salaam.
Matokeo yanaweza kutofautiana kulingana na hali ya ngozi na namna bidhaa ilivyotumika.
Hawa ni baadhi ya wateja walioanza kwa kupima uso, kupata ushauri na kutumia vipodozi vilivyochaguliwa kulingana na hali ya ngozi zao.
Telezesha kushoto kuona ushuhuda mwingine →
Gusa picha yoyote kuisoma kwa ukubwa zaidi.
Kabla ya kuweka nafasi, hakikisha unaweza kufika katika ofisi yetu Kariakoo.
Mtaa wa Kariakoo na Jangwani
Tunahudumia watu 10 tuu kwa siku.
Ramani itafunguka kwenye Google Maps.
Ofa ya kupima uso na kupata Tube Kiboko ya Madoa bure ni kwa watu wanaoweza kufika ofisini Kariakoo, Dar es Salaam.
Jaza fomu hapo chini kuweka nafasi yako.
Kumbuka, ofa hii ni kwa watu 10 tuu watakaofika kesho katika ofisi yetu Kariakoo, Dar es Salaam.
Bonyeza kitufe hapo chini kuagiza kupitia WhatsApp.
BONYEZA HAPA KUAGIZA TUBE PEKEE KWA 25,000/= TUU →Bonyeza swali lolote hapo chini kuona jibu lake.
Hapana. Kipimo cha ngozi hakiumi.
Sehemu ya kupima uso huchukua chini ya dakika 10. Mazungumzo na ushauri kutoka kwa mtaalamu yanaweza kuchukua muda zaidi.
Bei ya kupima uso na kupata ushauri ni 15,000/= tuu.
Hapana. Si lazima kununua bidhaa. Unaweza kulipia 15,000/= tuu, ukapima uso na kushauriana na mtaalamu bila kununua bidhaa nyingine.
Tube itatolewa bure kwa watu 10 wa kwanza watakaofika kupima uso kesho katika ofisi yetu Kariakoo, Dar es Salaam.
Ndiyo. Jaza fomu kwanza ili tuweze kukuweka kwenye orodha. Tunahudumia watu 10 tuu kwa siku ili tuweze kuwahudumia vizuri.
Hapana. Ofa ya kupima uso na kupata tube bure ni kwa watu wanaoweza kufika katika ofisi yetu Kariakoo, Dar es Salaam.
Ndiyo. Kama huwezi kufika Kariakoo lakini unahitaji tube pekee, unaweza kuagiza kupitia kitufe cha WhatsApp kilichopo kwenye sehemu ya ofa.
Ofisi yetu ipo Kariakoo, Dar es Salaam, Mtaa wa Kariakoo na Jangwani.
FUNGUA GOOGLE MAPS →Ofisi ipo wazi kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni.
Bado una swali?
PIGA SIMU: 0719 040 574