Unaanza Kupata wekundu mashavuni
Ukiachilia Mbali figo kufeli, ngozi kua nyepesi Na Kupata michirizi
Vipodozi Vinavyochubua husababisha hii hali usoni
Labda Uendelee Kujichubua Tuu
Na Bahati Mbaya Zaidi Itafika Wakati Hakuna Kipako Kitakusaidia
Make up na foundation Zitadunda Pia
Hivyo kama hujaanza kujichubua usijaribuu
Angalia Kama Hicho Kipodozi Kina Hivi Viambata
03Hydroquinone
Mercury salts
Steroids kama clobetasol propionate
Ukikipaka Utaona Baadhi Ya Hizi Dalili
05Unaanza Kupata wekundu mashavuni
Uso unawasha na kuchomachoma ukikiacha au ukiwa unakipaka
Kikikaribia kuisha au ukikiacha uso unafubaa unahisi kimekukataa
Wakati mwingine unapata rashes, vipele chunusi n.k
Kama ni mwilini unapata sugu na michirizi
Ukiona baadhi Ya Hizo Dalili Acha Mara Moja Kabla Hali haijawa mbaya
Bidhaa Hii Inaitwa SKNFX BARRIER REPAIR GEL Na ina viambata 05 muhimu
Na Ina Matokeo Mazuri!!
Hivyo unatumia bila wasiwasi wa kuharibu ngozi yako kimyakimya
Haijalishi una ngozi ya mafuta, sensitive, kavu au ya chunusi unatumia bila wasiwasi
Hasa kama unatamani kutunza ngozi yako lakini huna muda wa kukaa kupaka mavipodozi mengi
Ina viambata vingi kiasi kwamba ukisema ununue kila kimoja peke yake utajikuta unanunua bidhaa zaidi ya 5
Unapaka usoni usiku au mchana
Ukihitaji matokeo ya haraka unaweza kupaka mara mbili kwa siku
Unapata Chupa Ya Kutumia Miezi 2 Hadi 3
Kufyonza Sumu Za Vipodozi Vikali Usoni
Kupunguza mafuta na chunusi
Kung’arisha ngozi
Bei Yake Hua ni 25,000/=
Lakini Kama Ukiwahi Utapewa BUREE!!!
Kariakoo, Dar Es Salaam
Mtaa Wa Kariakoo Na Jangwani