PATA RANGI MOJA YA KITAJIRI USONI

Isiyo na Chunusi, Madoa Wala Mikunjo Hata Kama Ngozi Yako Ni Korofi Imegoma Kutakata

Mwanamke mwenye ngozi yenye afya, nuru na rangi moja

AGIZA LEO

Utapewa Zawadi Ya Facewash Bure

Delivery Ni Bure

Lipa Ukipokea Mzigo

AGIZA SASA

UNAHISI NGOZI YAKO YA USO IMESHINDIKANA??

Chunusi zinajirudia mara kwa mara

Madoa yamegoma kuisha

Uso una rangi mbili zisizofanana

Wekundu hauishi usoni

Ngozi imefubaa na imekosa nuru

Ngozi ni kavu, ngumu na imekakamaa

Mikunjo inakufanya uonekane mzee kabla ya umri wako

Kila unachopaka kinakuwasha au kukuchoma

UMECHOKA KUBADILI VIPODOZI KILA MARA UKITAFUTA MATOKEO??

01

Leo cream hii…

02

Kesho sabuni ile…

03

Wiki ijayo serum nyingine…

Kila bidhaa unaambiwa ndiyo suluhisho la matatizo yako ya ngozi.

Unaweka matumaini makubwa…

Lakini baada ya muda unajikuta bado una matatizo yale yale.

UNAISHIA KUPOΒ­TEZA PESA TUU

KUENDELEA KUBADILI VIPODOZI KILA SIKU HAITAKUSAIDIA KWASABABU

Shida Sio kupata kipodozi

Shida ni kupata kipodozi sahihi

01

Chenye viambata vyote 05 muhimu

02

Kwa Bei ambayo ni Rafiki

KAMA UNAHITAJI SULUHISHO RAHISI ZAIDI TAZAMA HIZI VIDEO

SKNFX Barrier Repair Gel

Bidhaa Hii Inaitwa SKNFX BARRIER REPAIR GEL Na ina hivyo viambata 05 muhimu

Na Ina Matokeo Mazuri!!

Usiamini Maneno Yetu Tuu !!! Hawa Ni baadhi Ya Wateja Wetu

Hizi Ndio Sababu 4 Wanawake wengi wanatumia bidhaa hii

Haichubui

Hivyo unatumia bila wasiwasi wa kuharibu ngozi yako kimyakimya

Haibagui ngozi

Haijalishi una ngozi ya mafuta, sensitive, kavu au ya chunusi unatumia bila wasiwasi

Inaokoa sana Muda

Hasa kama unatamani kutunza ngozi yako lakini huna muda wa kukaa kupaka mavipodozi mengi

Inaokoa sana Pesa

Ina viambata vingi kiasi kwamba ukisema ununue kila kimoja peke yake utajikuta unanunua bidhaa zaidi ya 5

Jinsi Ya Kutumia

Unapaka usoni usiku au mchana

Ukihitaji matokeo ya haraka unaweza kupaka mara mbili kwa siku

OFA YA LEO

Bei Ya Ofa Ni 35,000 Tuu

Badala Ya 55,000/=

Unapata Chupa Ya Kutumia Miezi 2 Hadi 3

Pia Kuna Zawadi Ya Sabuni Maalum Kwa Watu 10 Tuu Watakao Agiza Leo

Sabuni Hii Itakusaidia

Kufyonza Sumu Za Vipodozi Vikali Usoni

Kupunguza mafuta na chunusi

Kung’arisha ngozi

Bei Yake Hua ni 25,000/=

Lakini Kama Ukiwahi Utapewa BUREE!!!

TUNAPATIKANA

Kariakoo, Dar Es Salaam

Mtaa Wa Kariakoo Na Jangwani