Ni lazima utafubaa kidogo.
Hakikisha unaanza kufanya haya mambo 05 muhimu leo hii ili usizidi kuuharibu uso wako ukidhani unatibu tatizo!!!
Ni kwasababu vingi vinachubua kimyakimya ata kama muuza vipodozi hakwambii ukweli.
Na ndio maana ukivipaka ndani ya siku 3 tuu unatakata.
Lakini ukiviacha unafubaa tena.
Kuendelea kuvitumia ni kutengeneza tatizo kubwa zaidi la baadae ata kama unaona leo vinakusaidia.
Wakati wa matibabu sahihi:
Ni lazima utafubaa kidogo.
Tena kama umejichubua kwa muda mrefu utakua mweusi tii.
Uso utakua kama kinyago cha mpapule.
Lakini vumilia ndio kupona kwenyewe.
Baada ya hiyo hali kupita wewe mwenyewe utaipenda ngozi yako.
“Kulazimisha kupona bila kufubaa wakati wa matibabu ni sawa na kulazimisha kuoga bila kuvua nguo au kutaka kwenda mbinguni bila kufa.
Kutumia sabuni kali, au kusugua uso wako na scrub kwa nguvu haitakusaidia kitu.
Utazidi kuchubua ngozi na kutengeneza wekundu na weusi sugu zaidi.
Vitakusaidia kuijaza ngozi yako kama imekua nyepesi.
Pia kuiimarisha na kuirejesha katika uasili wake.
Kukimbilia kung’arisha ngozi bila kuijenga upya ni sawa na kupaka rangi ukuta uliopasuka badala ya kuujenga upya kwanza… hautapata matokeo mazuri.
Bila kupaka sunscreen:
Miale ya jua itazidi kukuchoma na kukuunguza.
Huo wekundu utazidi kuongezeka na mwisho utaanza kua wekundu au weusi sugu.
Bila sunscreen ata upate matibabu sahihi kiasi gani, utakua unajenga ngozi alaf jua linafanya kazi ya kuibomoa na kukurudisha nyuma.
Utatakata ndani ya siku 03 tuu.
Lakini baada ya miezi 6 au mwaka nina uhakika utarudi uso ukiwa kama picha hapo chini.
Na utakua umeshajaribu kila face cream umechoka.
Utaishia kua mtu wa kujificha kwenye makeup tuu.
Maana utakua umeshajaribu kila face cream ya kung’arisha bila matokeo.
Na itafika siku ata makeup zitadunda.
Hivyo jitahidi ufanye maamuzi sahihi leo hii kabla haujachelewa.
KUVINUNUA KIMOJA KIMOJA
Ofa hii ni kwa watu 10 tuu watakao weka oda leo.
Facewash ya AMINO Acid ya kusafishia uso
SKNFX Barrier Repair Gel yenye ceramides, hyaluronic acid, Vitamin C na niacinamide
Sunscreen nzuri ya Anua Zero Cast ambayo haiachi weupe
Swipe kulia kusoma story yote
→
Endelea kuswipe kuona hatua zote za story
Swipe kulia kutazama shuhuda zaidi
→
Endelea kuswipe kuona shuhuda zote
Unaona 75,000/= ni kubwa sana
Hauna uvumilivu, yani wewe hauko tayari kufubaa kwa muda wakati wa matibabu
Unataka kutakata ndani ya siku 03 tuu tena kwa bei chee
Hutaki kuacha kupaka vibomu, unaogopa kufubaa
WEWE ENDELEA NA VIPAKO VYAKO, FAINALI ITAKUA NI UZEENI
BIDHAA 03
Mtaa wa Kariakoo na Jangwani
Kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa 12 jioni
SKNFX Skincare — Kariakoo, Dar es Salaam
Bonyeza swali kuona jibu lake.
Baada ya kuosha uso na AMINO Acid Cleanser, unapaka SKNFX Repair Gel asubuhi na usiku kabla ya kulala.
Sunscreen unapaka asubuhi tuu.
Inafaa kwa ngozi aina zote.
Tube moja inatumika mwezi 01 hadi 02.
Kwa Dar es Salaam delivery ni buree.
Kwa mikoani utatuma kwanza 5,000/= ili utumiwe mzigo. Pesa inayobaki, yani 70,000/=, utalipia ukishapokea mzigo.
Kwa Dar es Salaam, malipo yanafanyika baada ya kupokea mzigo.
Kwa mikoani, unatuma kwanza 5,000/= na pesa inayobaki unamalizia baada ya kupokea mzigo.
Utatuma 5,000/= tuu. Pesa inayobaki, yani 70,000/=, utamalizia ukishapokea mzigo.
Ndio. Unaweza kuagiza bidhaa moja pekee kwa bei hizi:
Hapana. Utaacha vipodozi ulivyokuwa unatumia, hasa kama vilikuwa vya kuchubua.
Ofa hii ni maalum kwa watu 10 tuu watakao weka oda leo.