JE UNATAMANI KUA NA RANGI NZURI USONI

Isiyo Na Chunusi, Madoa, Mikunjo Wala Kasoro Yoyote Hata Kama Ngozi Yako Ni Korofi Imegoma Kutakata

Wanawake wawili wenye rangi tofauti za ngozi

NI MARA NGAPI UMEAMBIWA

Kama Una Madoa tumia hii seti ya kufuta madoa

Kama Una Melasma tumia hii seti ya kufuta melasma

Kama una wekundu na mabaka usoni tumia hii face cream

Kama Una mikunjo tumia hii seti ya kunyoosha uso

Kama Una Chunusi tumia hii cream ya kukausha chunusi

Kama Uso unawasha na kuchomachoma tumia hii

LAKINI...

PAMOJA NA KUTUMIA KILA SETI UNAYOAMBIWA ITAKUSAIDIA

UMEWAHI KUJIULIZA KWANINI?

Chunusi bado zinajirudia kila mara

Ukiacha tuu cream yako uso unafubaa unakua mweusi tii

Madoa ya chunusi yamegoma kuisha

Wekundu umegoma kuisha

Mikunjo bado inakusumbua

Uso unazidi kufubaa

Uso unazidi kuwasha na kuchomachoma

SASA ILI USIENDELEE KUPOTEZA PESA NA KUHARIBU USO WAKO ZAIDI

UNATAKIWA UFAHAMU

HIKI KITU KIMOJA

KITU HICHO NI HIKI

NGOZI YAKO YA USO HAINA TOFAUTI NA UKUTA WA NYUMBA YAKO

Na unapokua na shida yoyote usoni kama chunusi, madoa, melasma, mabaka, wekundu n.k

Ni sawa na ukuta wa nyumba yako umepasuka.

Mfano wa ukuta uliopasuka unaohitaji kujengwa upya

Ukuta wa nyumba yako unapokua umepasuka utafanya nini ili urudi kama zamani??

Kwa mtu mwenye akili timamu lazima ataujenga upya huo ukuta kisha ataupamba kwa kupiga plaster, kuupaka rangi n.k

Ni chizi pekee ndio anaweza kukimbilia kuupaka rangi ukuta huo bila kuujenga upya na huo ukuta hautapendeza, hautadumu na ataishia kupoteza tuu pesa

SASA HATA KWENYE NGOZI NI HIVYOHIVYO

Unapokimbilia vipodozi vya kukausha chunusi, kufuta madoa, mabaka, wekundu n.k ni sawa na kukimbilia kupaka rangi ukuta uliopasuka badala ya kuujenga upya kwanza.

Utakua unapoteza muda na hautapata matokeo mazuri na ya kudumu.

UKWELI NI KWAMBA HAKUNA KIPODOZI KITAKUSAIDIA USIPOANZA KWA KUJENGA UPYA NGOZI YAKO

KUJENGA UPYA NGOZI

UKITAKA KUJENGA UPYA UKUTA WA NGOZI YAKO HAINA TOFAUTI NA KUJENGA UKUTA WA NYUMBA

NI LAZIMA UWE NA HIVI VITU 05 MUHIMU

01 35,000/=

CERAMIDES

Matofali Ya Kujengea

Bila matofali hauwezi kujenga ukuta

02 35,000/=

CHOLESTEROL

Saruji/Cement

Lazima uwe na cement inayoshikilia matofali pamoja

03 35,000/=

HYALURONIC ACID

Maji Ya Kujengea

Maji ni muhimu kwenye kuchanganyia cement na mchanga

04 35,000/=

PANTHENOL

Fundi Wa Kujenga

Lazima uwe na fundi anaepanga hayo matofali, kuchanganya cement n.k

05 35,000/=

NIACINAMIDE

Mlinzi Wa Ukuta

Baada ya ukuta kujengwa unahitaji mtu wa kuutunza.

Niacinamide husaidia ngozi kutengeneza ceramides zaidi na kuimarisha ukuta uliopo.

UKINUNUA KIMOJA KIMOJA

HIVI NDIVYO GHARAMA ZINAVYOKUA

CERAMIDES 35,000/=
CHOLESTEROL 35,000/=
HYALURONIC ACID 35,000/=
PANTHENOL 35,000/=
NIACINAMIDE 35,000/=
JUMLA UTAHITAJI WALAU

USIWE NA CHINI YA

175,000/=
SHORTCUT YA BEI CHEE

UKIHITAJI SHORTCUT TUMIA HIZI FACECREAM ZA KUNG’ARISHA AMBAZO BAADHI HUUZWA HADI 15,000/=

LAKINI BAADAE UTAJUTA

Ukizitumia utatakata ndani ya siku tatu tuu.

Hakuna chunusi, madoa, mabaka, wekundu wala makunyanzi yatabakia.

Lakini baada ya muda unaweza hisi zimekukataa.

Uso utaharibika zaidi na ukiendelea kubadili facecream bila kujenga upya ngozi yako utajikuta uso wako umefika hivi.

SULUHISHO LA KUDUMU NI KUJENGA KWANZA USO WAKO

SULUHISHO NAFUU NA SAHIHI ZAIDI

NI KUTUMIA HII BIDHAA MOJA TUU

YENYE HIVYO VIAMBATA 05 MUHIMU

SKNFX Baobab Skin Barrier Repair Gel
SKNFX BAOBAB SKIN BARRIER REPAIR GEL

HAICHUBUI

INATUMIKA KWA NGOZI AINA ZOTE

BEI YAKE NI NAFUU SANA

NI RAHISI KUTUMIA

JINSI YA KUTUMIA

HATUA 01

OSHA USO WAKO

Osha na usafishe uso wako vizuri.

HATUA 02

KAUSHA KWA UPOLE

Kausha uso wako kwa upole bila kuusugua.

HATUA 03

PAKA SKNFX REPAIR GEL

Baada ya kuosha uso wako, paka SKNFX Barrier Repair Gel.

HATUA 03 TUU RAHISI KUFUATA

VIDEO ZA WATEJA

TAZAMA VIDEO HAPA KUONA BAADHI YA WATU WALIOITUMIA

SWIPE KULIA KUTAZAMA VIDEO ZAIDI

SHUHUDA ZA WATEJA

USIAMINI MANENO YETU TUU!

HAWA NI BAADHI YA WATEJA WALIOITUMIA

SWIPE KULIA KUSOMA SHUHUDA ZAIDI

1 / 9
OFA MAALUM YA LEO

BIDHAA HUA INAUZWA 65,000/=

LAKINI UKIAGIZA LEO UTALIPIA

35,000/= TUU
SKNFX Baobab Skin Barrier Repair Gel
SKNFX BAOBAB SKIN BARRIER REPAIR GEL

PIA KUNA ZAWADI YA SABUNI MAALUM KWA WATU 10 TUU WATAKAOAGIZA LEO

AMINO Acid Facewash iliyofungwa kama zawadi ya bure

SABUNI HII ITAKUSAIDIA

1

Kufyonza Sumu Za Vipodozi Vikali Usoni

2

Kupunguza mafuta na chunusi

3

Kung’arisha ngozi

BEI YAKE HUA NI 25,000/=

LAKINI KAMA UKIWAHI UTAPEWA BUREE!

HIVYO UKIWA UKAAGIZA LEO UTAPATA VITU VIWILI KWA 35,000/= TUU

SKNFX Barrier Repair Gel pamoja na AMINO Acid Facewash ya bure
MAHALI TULIPO

TUNA OFISI KARIAKOO, DAR ES SALAAM

JINA LA OFISI

SKNFX Skincare

ANWANI

Mtaa wa Kariakoo na Jangwani, Dar es Salaam

SIMU/WHATSAPP

0719 040 574

SAA ZA KAZI

Kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa 12 jioni

PATA MAELEKEZO YA KUFIKA OFISINI
MASWALI NA MAJIBU

MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA

01 Bidhaa hii inatumikaje?

Unapaka baada ya kuosha uso wako.

02 Inafaa kwa ngozi aina gani?

Inafaa kwa ngozi aina zote.

03 Chupa moja inatumika kwa muda gani?

Chupa moja inatumika mwezi 01 hadi 02.

04 Naweza kuitumia pamoja na vipodozi nilivyonavyo?

Ndio.

05 Delivery ya Dar ni bure?

Ndio, delivery ya Dar es Salaam ni buree.

06 Wateja wa mikoani wanatuma kiasi gani kwanza?

Mkoani utatuma kwanza 5,000/= alaf pesa inayobaki 30,000/= utamalizia ukishapokea mzigo.

07 Facewash ni bure kwa kila mtu?

Zawadi ya facewash ni kwa watu 10 tuu watakaowahi.

08 Ofa ya 35,000/= ni kwa watu wangapi?

Ofa hii ni kwa watu 10 tuu watakaowahi leo.

09 Naweza kuagiza facewash pekee?

Ndio, lakini utalipia 25,000/=

10 Malipo yanafanyika lini?

Malipo yanafanyika baada ya kupokea mzigo.

SKNFX REPAIR GEL 35,000/= + Facewash BUREE
ANGALIA OFA