Kulinda Ngozi Isipoteze Maji
Lakini kumbe unaharibu hiki kitu kimoja muhimu sana kwenye ngozi.
Hali inayopelekea hata vipodozi sahihi vikuletee madhara zaidi.
Ambao ni kama ngao inayofanya kazi kuu 03
Kulinda Ngozi Isipoteze Maji
Kuzuia Wadudu Na Uchafu Visiingie Ndani Ya Ngozi
Kuzuia Vipodozi Visiingie Ndani Zaidi Ya Ngozi Ambako Havitakiwi Kufika
Hasa wanapotumia vipodozi ambavyo sio sahihi au wanapokosea matumizi.
Unapopaka vipodozi vya kukusaidia, vinaingia ndani zaidi ya ngozi na kuleta madhara.
Unakua kama unatia chumvi kwenye kidonda.
MATOKEO YAKE:
Unawashwa na kuchomwachomwa zaidi
Ngozi inakuwa kavu na inakakamaa
Chunusi na vipele vinajirudia mara kwa mara
Madoa hayaishi
Mafuta yanazidi kuongezeka usoni
Weusi unaongezeka ukiacha cream
Wekundu unarudi kila mara
Lakini kumbe una tatizo moja tuu:
UKIJENGA UPYA UKUTA HUO:
Ngozi itaweza kujilinda dhidi ya uchafu, wadudu na vitu vingine vya nje.
Vipodozi havitaingia ndani zaidi na kukuletea madhara yasiyohitajika.
Mabaka, madoa na chunusi vitapungua na ngozi yako itaanza kuonekana yenye afya na rangi ya kuvutia.
Unatakiwa kumuona Daktari bingwa wa ngozi akuandikie:
Kikawaida kumuona Daktari bingwa wa ngozi ili akuandikie hiyo LIST KAMILI utatakiwa kulipia:
30,000/=
LAKINI LEO UTAPEWA LIST HIYO BUREE
Ofa hii ni kwa watu 10 tuu watakao wahi.
Unachotakiwa kufanya ni kujaza taarifa zako sasa hivi kabla nafasi hazijaisha.
BONYEZA HAPA KUJAZA TAARIFA ZAKOKariakoo, Dar Es Salaam Mtaa wa Kariakoo na Jangwani
WhatsApp na simu ya kawaida
WASILIANA NASI WHATSAPP