KUJENGA UPYA NGOZI

UKITAKA KUJENGA UPYA UKUTA WA NGOZI YAKO HAINA TOFAUTI NA KUJENGA UKUTA WA NYUMBA

Ni lazima uwe na hivi vitu 05 muhimu

01

CERAMIDES

Matofali Ya Kujengea

Bila matofali hauwezi kujenga ukuta.

02

CHOLESTEROL

Saruji/Cement

Lazima uwe na cement inayoshikilia matofali pamoja.

03

HYALURONIC ACID

Maji Ya Kujengea

Maji ni muhimu kwenye kuchanganyia cement na mchanga.

04

PANTHENOL

Fundi Wa Kujenga

Lazima uwe na fundi anaepanga hayo matofali na kuchanganya cement.

05

NIACINAMIDE

Mlinzi Wa Ukuta

Baada ya ukuta kujengwa unahitaji mtu wa kuutunza. Niacinamide husaidia ngozi kutengeneza ceramides zaidi na kuimarisha ukuta uliopo.

UKINUNUA KIMOJA KIMOJA

Bidhaa tofauti zenye hivyo viambata zinaweza kukugharimu hadi

175,000/= AU ZAIDI

UKIHITAJI SHORTCUT TUMIA HIZI FACECREAM ZA KUNG’ARISHA AMBAZO BAADHI HUUZWA HADI 15,000/=

Ukizitumia utatakata ndani ya siku tatu tuu.

Lakini baada ya muda NGOZI ITAHARIBIKA ZAIDI.

Mfano wa facecream za bei nafuu na ngozi iliyoharibika
Vipodozi vya kung'arisha pamoja na mfano wa ngozi iliyoharibika
Facecream mbalimbali pamoja na mfano wa ngozi iliyoharibika

SASA BADALA YA KUNUNUA HIZO FACECREAM UNAWEZA NUNUA HII BIDHAA MOJA TUU

YENYE HIVYO VIAMBATA 05 MUHIMU

SKNFX Baobab Skin Barrier Repair Gel

HAICHUBUI

INATUMIKA KWA NGOZI AINA ZOTE

BEI YAKE NI NAFUU SANA

NI RAHISI KUTUMIA

SHUHUDA ZA WATEJA

HAWA NI BAADHI YA WATEJA WALIOITUMIA NA KUPATA MATOKEO MAZURI!

Ushuhuda wa mteja wa kwanza
Ushuhuda wa mteja wa pili
Ushuhuda wa mteja wa tatu
Ushuhuda wa mteja wa nne
OFA MAALUM YA LEO

BEI YA BIDHAA HII HUA NI 65,000/=

LAKINI UKIAGIZA LEO UTALIPIA

35,000/= TUU
SKNFX Baobab Skin Barrier Repair Gel

PIA KUNA ZAWADI YA SABUNI MAALUM KWA WATU 10 TUU WATAKAOAGIZA LEO

AMINO Acid Facewash iliyofungwa kama zawadi ya bure

SABUNI HII ITAKUSAIDIA

01

Kufyonza Sumu Za Vipodozi Vikali Usoni

02

Kupunguza mafuta na chunusi

03

Kung’arisha ngozi

BEI YAKE HUA NI 25,000/=

LAKINI KAMA UKIWAHI UTAPEWA BUREE!

HIVYO UKIWAHI UKAAGIZA LEO UTAPATA VITU VIWILI KWA 35,000/= TUU

SKNFX Barrier Repair Gel pamoja na AMINO Acid Facewash ya bure