UNATAMANI KUONDOKANA NA HIZI CHANGAMOTO HARAKA??

Picha za uso zilizopangwa pembeni kwa pembeni

Usifanye Hili Kosa 01 Ambalo Wengi Hulifanya Bila Kujua Wanapoosha Uso

Na Kusababisha Uso Ufubae Badala Ya Kutakata!!

JUU YA NGOZI KUNAUKUTA MAALUM

Ambao ni kama ngao inayofanya kazi kuu 03

  1. Kulinda Ngozi Isipoteze Maji

  2. Kuzuia Wadudu Na Uchafu Visiingie Ndani Ya Ngozi

  3. Kuzuia Vipodozi Visiingie Ndani Zaidi Ya Ngozi Ambako Havitakiwi Kufika

TATIZO NI KWAMBA WATU WENGI HUUBOMOA UKUTA HUO KILA SIKU BILA KUJUA

Hasa Wanapoosha Uso Na Baadhi Ya Sabuni Za Vipande Na Facewash Zisizofaa

UKUTA UNAPOBOMOKA NGOZI INABAKI UCHI BILA ULINZI

Unapopaka vipodozi vya kukusaidia, vinaingia ndani zaidi ya ngozi na kuleta madhara.

Unakua kama unatia chumvi kwenye kidonda.

MATOKEO YAKE:

  1. Ngozi inakua kavu na inakakamaa

  2. Unawashwa na kuchomwachomwa

  3. Uso unakua hauna rangi moja

  4. Uso unakua sio soft

  5. Chunusi na vipele vinajirudia mara kwa mara

  6. Madoa Hayaishi

  7. Mafuta yanaongezeka

  8. Weusi unaongezeka ukiacha cream

  9. Unaanza kupata wekundu ukipaka cream

  10. Unapata Mba na utangotango

UNAANZA KUHISI KAMA UNA MATATIZO MENGI KUMBE SABABU NI SABUNI TUU UNAYOTUMIA KUSAFISHIA USO WAKO!!

SULUHISHO JIPYA

SASA ILI USIENDELEE KUHARIBU USO WAKO KWA HIZO SABUNI NA CLEANSER ZISIZOFAA

Tumekuletea hii TURMERIC REFRESHING FACIAL CLEANSER mpya

Turmeric Refreshing Facial Cleanser
TURMERIC REFRESHING FACIAL CLEANSER

Husafisha uso kwa upole

Haifanyi ngozi ikauke wala kukakamaa

Inafaa kwa ngozi aina zote

Inafaa hata kwa ngozi sensitive

HAWA NI BAADHI YA WATU WALIOITUMIA NA KUONA MATOKEO

Soma maoni yao hapa chini.

Maoni ya mteja aliyetumia Turmeric Refreshing Facial Cleanser
Maoni ya mteja
Ushuhuda wa mteja wa Turmeric Refreshing Facial Cleanser
Maoni ya mteja
Mteja akieleza uzoefu wake baada ya kutumia Turmeric Refreshing Facial Cleanser
Maoni ya mteja

TURMERIC REFRESHING FACIAL CLEANSER HUFANYA KAZI VIZURI KWASABABU INA HIVI VIAMBATA 05 MUHIMU

Ambavyo hata cleanser nyingi za gharama hazina.

Turmeric Refreshing Facial Cleanser ikiwa imezungukwa na viambata vyake vitano muhimu
01

AMINO ACID

Husafisha uso kwa upole bila kuikausha.

02

LACTOBIONIC ACID

Husaidia kuondoa ngozi iliyokufa.

03

VITAMIN C

Hung’arisha na kusaidia uzalishwaji wa collagen.

04

TURMERIC EXTRACT

Hutuliza na kung’arisha ngozi.

05

HYALURONIC ACID

Husaidia kuongeza unyevu kwenye ngozi.

HIZI NDIO FAIDA KUU 04 UTAKAZOPATA UKITUMIA HII TURMERIC REFRESHING FACIAL CLEANSER

01

Inapunguza mafuta na chunusi usoni

02

Inang’arisha ngozi na kufuta madoa na mabaka

03

Huimarisha ngozi na kupunguza mikunjo

04

Inasafisha uso bila kuifanya ngozi kua kavu, kukakamaa wala kuwasha

Inafaa kwa ngozi aina zote, hata ngozi sensitive.

UKITUMIA TURMERIC REFRESHING FACIAL CLEANSER KWA SIKU 14 HADI 28 MATOKEO NI UHAKIKA

Maoni ya mteja wa Turmeric Refreshing Facial Cleanser
Ushuhuda wa mteja aliyetumia Turmeric Refreshing Facial Cleanser
Mteja akieleza uzoefu wake baada ya kutumia Turmeric Refreshing Facial Cleanser
OFA MAALUM YA LEO

KAMA UNAHITAJI HII TURMERIC REFRESHING FACIAL CLEANSER LEO UTAIPATA KWA 30,000/= TUU

Turmeric Refreshing Facial Cleanser tube moja kwa 30,000/= badala ya 60,000/=

PIA WATU 10 TUU WATAKAO WAHI WATAPEWA ZAWADI YA SERUM YA TURMERIC

YENYE THAMANI YA 35,000/= BUREE

Turmeric serum ikiwa na ribbon ya dhahabu na tag ya BUREE

Serum hii itakusaidia Kukausha chunusi,kufuta madoa,mabaka na kung'arisha ngozi

Hivyo Kama Utawahi Na Kuagiza Leo Utapata TURMERIC CLEANSER Na Zawadi Ya SERUM YA TURMERIC

Turmeric Cleanser pamoja na zawadi ya Turmeric serum yenye ribbon na tag ya BUREE

JINSI YA KUTUMIA

  1. Safisha uso na Turmeric Cleanser kwa sekunde 30 tuu.
  2. Kausha vizuri uso kisha paka serum ya turmeric.
  3. Malizia na kupaka mafuta yako unayopaka kila siku usoni.

BONYEZA HAPA CHINI KUAGIZA

KAMA UNAHITAJI BIDHAA HII LAKINI SIO LEO

JAZA TAARIFA ZAKO HAPA

MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA

Kwa 30,000/= nitapata nini?

Utapata tube 01 ya Turmeric Refreshing Facial Cleanser kwa 30,000/= badala ya 60,000/=. Ukiwa miongoni mwa watu 10 tuu wa kwanza kuagiza leo, utapata pia zawadi ya Serum ya TURMERIC yenye thamani ya 35,000/= buree.

Serum ni bure kweli, na nani atapata zawadi?

Ndiyo, hutalipia serum tofauti. Zawadi hii ni kwa watu 10 tuu wa kwanza watakaowahi kuagiza leo.

Serum ya Turmeric ina kazi gani?

Serum hii inalenga kusaidia Kungarisha ngozi,kufuta madoa na mabaka na kukausha chunusi.

Cleanser na serum nitavitumiaje kwa pamoja?
  1. Lowesha uso, kisha safisha na Turmeric Cleanser kwa sekunde 30 tuu na usuuze kwa maji.
  2. Kausha vizuri uso kisha paka serum ya Turmeric kulingana na maelekezo yake.
  3. Malizia na mafuta yako ya uso.
Nitatumia cleanser mara ngapi kwa siku?

Kwa utaratibu huu, tumia cleanser mara moja kila asubuhi. Fuata pia maelekezo yaliyo kwenye bidhaa.

Naweza kuendelea kutumia mafuta yangu ya uso?

Unaweza kumalizia na mafuta ya uso yanayoifaa ngozi yako baada ya serum. Kama bidhaa unayotumia inakuwasha au kukuletea wekundu, usiendelee kuitumia bila kupata ushauri.

Tube moja itanitumikia kwa muda gani?

Muda hutegemea kiasi unachotumia kila siku. Tumia kiasi kidogo kulingana na maelekezo ya bidhaa.

Nitaanza kuona mabadiliko baada ya muda gani?

Muda wa kuona mabadiliko hutofautiana kulingana na ngozi na tatizo ulilonalo. Lakini wengi huona mabadiriko ndani ya siku 28.

Delivery ya Dar es Salaam ni bure?

Ndiyo. Kwa wateja wa Dar es Salaam, delivery ni buree na malipo yanafanyika baada ya kupokea mzigo.

Bonyeza hapa kuagiza ukiwa Dar es Salaam →
Nikiwa nje ya Dar es Salaam, ninaagizaje?

Ukiwa nje ya Dar es Salaam, utatuma kwanza 5,000/= ili mzigo utumwe. Pesa inayobaki utamalizia baada ya kupokea mzigo.

Bonyeza hapa kuona utaratibu wa mikoani →
Naweza kufuata bidhaa ofisini?

Ndiyo. Unaweza kufuata bidhaa kwenye ofisi yetu iliyopo Kariakoo, Dar es Salaam.

MAHALI TULIPO

TUNA OFISI KARIAKOO, DAR ES SALAAM

JINA LA OFISI

SKNFX Skincare

ANWANI

Mtaa wa Kariakoo na Jangwani

SIMU/WHATSAPP

0694 655 607

MUDA WA KAZI

Saa 3:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni

PATA MAELEKEZO YA KUFIKA OFISINI

Unaweza kuagiza bidhaa au kuja kuichukua moja kwa moja ofisini.

TURMERIC CLEANSER
KUANZIA 30,000/=
ANGALIA OFA