SKNFX

UKITAKA KUPUNGUZA MAFUTA USONI

Usitumie Vipodozi Vya Kukausha Mafuta

Kama una uso wa mafuta…

Unaweza kutumia
Bidhaa zozote za kukausha mafuta.

Zitakusaidia sana

Lakini baada ya muda
mafuta huongezeka tena usoni.

Sio kwa sababu
bidhaa hizo ni feki.

Wala sio kwamba hazifanyi kazi.

Ni kwa sababu

Mafuta
Ni sehemu ya ulinzi wa ngozi yako.

Wewe unadhani
unaondoa mafuta…

Kumbe unaondoa ulinzi wa ngozi yako

Na ngozi haiwezi kukaa bila ulinzi.

Ndio maana
Inazalisha mafuta mengine.

Hivyo hata ukaushe vipi mafuta,
lazima yarudi tena

Ni sawa na

bomba limepasuka
ndani ya nyumba…

Wewe unahangaika

kudeki maji,
badala ya kuziba panapovuja.

Na ndio maana

Hata vipodozi vya gharama vya kukausha mafuta

Hufanya kazi kwa muda tu

Mafuta mengi usoni sio tatizo.

Ni dalili ya tatizo lililojificha kwenye ngozi.

Na huwezi kulibaini tatizo hilo kwa kuangalia kwa macho tuu

Bila vipimo sahihi

Kila siku utakua unaongeza zaidi mafuta

Badala ya kupunguza

Kwa vipimo na msaada zaidi
Unaweza kufika ofisini kwetu
Kariakoo,Dar Es Salaam

Gharama ya
kuonana na mtaalamu ni 10,000/= tu

badala ya 35,000/=

Hautalipa hii gharama kama utanunua bidhaa yoyote

Na utapimwa Ngozi buree
kwa wiki hii tu

Tunatumia Vifaa Vya Kisasa Kupima Ngozi

Tazama Namna Mashine Inavyofanya kazi

Kama Upo Dar Es Salaam

Na Unaweza Fika Kariakoo Kwa Ajili Ya Vipimo WIKI HII

[Hauingii kariakoo ndani kule kwenye msongamano mkubwa wa watu]

Jaza fomu hii 

SKNFX@2026