Madoa sio tatizo
Ni dalili kwamba Ngozi yako iko vitani
Inapigana na adui usiyemfahamu
Bila kumwondoa adui huyo
Kila siku utakua unafuta madoaYana rudi tena
Hivyo hatua ya kwanza Na ya muhimu
Ni kuhakikisha Unamfahamu adui anaekushambulia
Inaweza kua ni
JuaHomoniVipodoziChakulaNgozi ni kavu n.k
Kuhangaika kufuta madoabila kujua kinachoishambulia Ngozi
Ni sawa na kupaka rangiukuta uliopasuka
Badala ya kuujenga upya
Bahati mbaya
Ni ngumu kujua kinachoishambulia Ngozikwa macho tuu
Kwasababukinaweza kua ndani au nje ya Ngozi
Bila vipimo sahihi Matibabu inakua ni ya kubahatisha
Kwa vipimo na msaada zaidiUnaweza kufika ofisini kwetuKariakoo,Dar Es Salaam
Gharama ya kuonana na mtaalamu ni 10,000/= tubadala ya 35,000/=
Hautalipa hii gharama kama utanunua bidhaa yoyote
Na utapimwa Ngozi buree kwa wiki hii tu
Tunatumia Vifaa Vya Kisasa Kupima Ngozi
Tazama Namna Mashine Inavyofanya kazi
Kama Upo Dar Es Salaam
Na Unaweza Fika Kariakoo Kwa Ajili Ya Vipimo WIKI HII
[Hauingii kariakoo ndani kule kwenye msongamano mkubwa wa watu]
Jaza fomu hii
Kama Upo Nje YaDar Es Salaam
Au Unahitaji kuwasiliana na sisi
Unaweza kupiga au kutuma meseji whatsapp kupitia
0694655607