SKNFX

KUKAUSHA CHUNUSI SIO KUTIBU CHUNUSI

Watu wengi wanapopata chunusi hukimbilia

Dawa za kukausha chunusi,
Dawa za kukausha mafuta,
Scrub na sabuni

Bila kujua kwamba

Dawa za kukausha mafuta
hukausha mafuta vizuri sana

Lakini Ngozi huyazalisha tena

kwasababu

mafuta ni sehemu ya ulinzi wa Ngozi

Na ndio maana

Ngozi Huyazalisha tena ili kurudisha ulinzi

Dawa za kukausha chunusi huua bacteria

ambao kimsingi hawana hatia

Kwasababu

watu wengi tuu wanaishi nao bila shida yoyote

Scrub na sabuni kali husafisha vizuri Ngozi 

Lakini pia huondoa ulinzi wa Ngozi

Na kutengeneza mazingira mazuri
ya bacteria wabaya kuzaliana

Watu wengi huzani

Mafuta,uchafu,bacteria ndio husababisha chunusi

Lakini kiuhalisia

Vitu hivyo ni sawa na mbolea shambani

Husaidia chunusi kukua

pale tuu unapokua tayari
umepanda mbegu ya chunusi usoni mwako

Mbegu ya chunusi

hupandwa na baadhi ya vipodozi ambavyo watu wengi wanaviamini

Vipodozi hivi hupendezesha sana Ngozi kwa juu

lakini ndani zaidi

  1. Huziba matundu ya kutolea uchafu
  2. Hukausha Ngozi kimyakimya
  3. Hufanya Ngozi izalishe mafuta mengi zaidi,
  4. Huondoa ulinzi wa Ngozi
  5. Huharibu mfumo mzima wa Ngozi kutoa taka mwili,

Bila kurekebisha hivyo vitu 5

Kila siku chunusi zitakua zinarudi na utaishia kusema

Una chunusi sugu

Ni ngumu sana

Kuziona na kuzingundua hizo changamoto 5 kwa macho tuu

Ndio maana

Unatakiwa upime Ngozi kuona hizo dalili zilizojificha

Bila vipimo sahihi Matibabu inakua ni ya kubahatisha

Kwa vipimo na msaada zaidi
Unaweza kufika ofisini kwetu
Kariakoo,Dar Es Salaam

Gharama ya kuonana na mtaalamu ni 10,000/= tu
badala ya 35,000/=

Hautalipa hii gharama kama utanunua bidhaa yoyote

Na utapimwa Ngozi buree kwa wiki hii tu

Tunatumia Vifaa Vya Kisasa Kupima Ngozi

Tazama Namna Mashine Inavyofanya kazi

Kama Upo Dar Es Salaam

Na Unaweza Fika Kariakoo Kwa Ajili Ya Vipimo WIKI HII

[Hauingii kariakoo ndani kule kwenye msongamano mkubwa wa watu]

Jaza fomu hii 

SKNFX@2026