Watu wengi wanapopata chunusi hukimbilia
Dawa za kukausha chunusi,Dawa za kukausha mafuta,Scrub na sabuni
Bila kujua kwamba
Dawa za kukausha mafutahukausha mafuta vizuri sana
Lakini Ngozi huyazalisha tena
kwasababu
mafuta ni sehemu ya ulinzi wa Ngozi
Na ndio maana
Ngozi Huyazalisha tena ili kurudisha ulinzi
Dawa za kukausha chunusi huua bacteria
ambao kimsingi hawana hatia
Kwasababu
watu wengi tuu wanaishi nao bila shida yoyote
Scrub na sabuni kali husafisha vizuri Ngozi
Lakini pia huondoa ulinzi wa Ngozi
Na kutengeneza mazingira mazuri ya bacteria wabaya kuzaliana
Watu wengi huzani
Mafuta,uchafu,bacteria ndio husababisha chunusi
Lakini kiuhalisia
Vitu hivyo ni sawa na mbolea shambani
Husaidia chunusi kukua
pale tuu unapokua tayari umepanda mbegu ya chunusi usoni mwako
Mbegu ya chunusi
hupandwa na baadhi ya vipodozi ambavyo watu wengi wanaviamini
Vipodozi hivi hupendezesha sana Ngozi kwa juu
lakini ndani zaidi
Bila kurekebisha hivyo vitu 5
Kila siku chunusi zitakua zinarudi na utaishia kusema
Una chunusi sugu
Ni ngumu sana
Kuziona na kuzingundua hizo changamoto 5 kwa macho tuu
Ndio maana
Unatakiwa upime Ngozi kuona hizo dalili zilizojificha
Bila vipimo sahihi Matibabu inakua ni ya kubahatisha
Kwa vipimo na msaada zaidiUnaweza kufika ofisini kwetuKariakoo,Dar Es Salaam
Gharama ya kuonana na mtaalamu ni 10,000/= tubadala ya 35,000/=
Hautalipa hii gharama kama utanunua bidhaa yoyote
Na utapimwa Ngozi buree kwa wiki hii tu
Tunatumia Vifaa Vya Kisasa Kupima Ngozi
Tazama Namna Mashine Inavyofanya kazi
Kama Upo Dar Es Salaam
Na Unaweza Fika Kariakoo Kwa Ajili Ya Vipimo WIKI HII
[Hauingii kariakoo ndani kule kwenye msongamano mkubwa wa watu]
Jaza fomu hii