UMECHOKA KUTIBU CHUNUSI ZINAZOISHA NA KURUDI KILA MARA??

Usiendelee Kufanya Hili Kosa 01 Ukidhani Unatibu Tatizo Kumbe Unaongeza Tatizo Bila Kujua!!!

Chunusi Nyingi Hutokana Na Mafuta Mengi Usoni!!

Lakini Pia Mafuta

1.Husaidia kulainisha Ngozi

2.Husaidia ngozi kutunza maji na unyevu

Unapotumia Dawa Za Kukausha Chunusi Ovyo ovyo Hiki ndio hutokea

1.Zinakausha mafuta usoni

2.Ngozi Inapoteza Maji Mengi

3.Inakua Kavu Inakakamaa

4.Inazalisha Mafuta Mengine mengi zaidi

5.Mafuta Mengi Yanaziba Vitundu Usoni

6.Wadudu wanazaliana usoni

7.Chunusi Zinarudi tena

Ili Utibu Chunusi Na Zisirudi Tena

1.Unatakiwa kubalance mafuta badala ya kuhangaika kuyakausha

2.Kuhakikisha Ngozi yako ina unyevu na maji ya kutosha

Ukifanya hayo mambo 02

Mafuta yatapungua usoni 

Pia wadudu watapungua usoni

Chunusi zitakauka na hazitarudi tena

⚠️Tatizo Kubwa Ni Kwamba!!!

Utalazimika kununua vipodozi 02 au zaidi!!

Ambavyo Vitakua Ni gharama kubwa

🔥Suluhisho Rahisi Na La Kudumu🔥

Ni kutumia Hii Bidhaa Moja Tuu  Yenye uwezo wa kufanya Kazi zote 02
👇👇

Bidhaa Hii itakusaidia kutibu chunusi zisirudi tena na kuondoa madoa kwasababu imetengenezwa kwa hivi viambata 06 muhimu

1.Ceramides,lipids,
cholesterol

Hujenga upya ngozi iliyoharibiwa na chunusi pia huondoa kuwasha na kuchomwachomwa usoni

2.Hyaluronic Acid

Huongeza unyevu kwenye ngozi kavu

3.Niacinamide

Hung’arisha ngozi na kubalance mafuta

4.Vitamin C

Hung’arisha ngozi Iliyofubaa na kufuta madoa

5.Pethanol,B glucan

Hutuliza na kupoza ngozi na kusaidia kutibu chunusi

6.Peptides

Huondoa mikunjo usoni

Hizi Ndio Sababu 4 Wanawake wengi wanatumia bidhaa hii

1.Haichubui

Hivyo unatumia bila wasiwasi wa kuharibu ngozi yako kimyakimya

2.Haibagui ngozi

Haijalishi una ngozi ya mafuta,sensitive,kavu au ya chunusi unatumia bila wasiwasi

3.Inaokoa sana Muda

Hasa kama unatamani kutunza ngozi yako lakini huna muda wa kukaa kupaka mavipodozi mengi

4.Inaokoa sana Pesa

Ina viambata vingi kiasi kwamba ukisema ununue kila kimoja peke yake utajikuta unanunua bidhaa zaidi ya 5

Baadhi ya Wateja Wetu Walikua Na Haya Yakusema

Jinsi Ya Kutumia

Unapaka usoni usiku au mchana

Ukihitaji matokeo ya haraka unaweza kupaka mara mbili kwa siku

OFA YA LEO

Bei Ya Ofa Ni 35,000 Tuu

Badala Ya 55,000/=

Unapata Chupa Ya Kutumia Miezi 2 Hadi 3

Pia Kuna Zawadi Ya Sabuni Maalum Kwa Watu 10 Tuu Watakao Agiza Leo

Sabuni Hii Itakusaidia 

1.Kufyonza Sumu Za Vipodozi Vikali Usoni

2.Kupunguza mafuta na chunusi

3.Kung’arisha ngozi

Bei Yake Hua ni 25,000/=

Lakini Kama Ukiwahi Utapewa BUREE!!!