Uso unakua mkavu
Sabuni Yako Inaweza Kua Inasababisha Hata Vipodozi Vyako Vya Gharama Visifanye Kazi Bila Wewe Kujua!!
Uso unakua mkavu
Mafuta yanakauka
Ngozi inakua ngumu sio laini
Muda mwingine hadi inakakamaa
Unahisi hadi ngozi inavuta
Muda mwingine hadi unawashwa na kuchomwachomwa
Kwa kuondoa ulinzi juu ya Ngozi yako bila wewe kujua.
Ngozi inapobaki bila ulinzi
Vipodozi vilivyotakiwa kukusaidia huingia ndani zaidi
Ambako havitakiwi kufika na kusababisha matatizo zaidi!!!
Chunusi Zinakua zinajirudiarudia
Madoa Yanagoma Kuisha
Uso unakua na rangi mbili
Mabaka yanakua yanarudi au kuongezeka ukiacha tuu cream
Ngozi inafubaa inakosa nuru
Ngozi inazidi kua kavu
Mikunjo inaongezeka unaonekana mzee kuliko umri wako
Vipodozi Vinakua vinakuwasha na kukuchomachoma ukipaka
Ukiendelea kubomoa ngozi yako kila siku kwa kutumia sabuni au facewash zisizofaa.
Itakusaidia Kusafisha ngozi yako bila kuibomoa zaidi matokeo yake
Chunusi na madoa vitaisha kwa urahisi
Weusi mashavuni na chini ya macho utaisha
Wekundu mashavuni pia utaisha
Mikunjo itapungua
Utabaki na rangi moja yenye afya
Telezesha kuona picha nyingine
→
Hujenga upya ngozi iliyoharibiwa na chunusi, vipodozi, jua n.k.
Huongeza unyevu kwenye ngozi kavu.
Hung’arisha ngozi na kubalance mafuta.
Hutuliza na kupoza ngozi na kusaidia kutibu chunusi.
Husafisha ngozi kwa upole.
Telezesha kuona ushuhuda mwingine
→
Hivyo unatumia bila wasiwasi wa kuharibu ngozi yako kimyakimya.
Haijalishi una ngozi ya mafuta, sensitive, kavu au ya chunusi unatumia bila wasiwasi.
Hasa kama unatamani kutunza ngozi yako lakini huna muda wa kukaa kupaka mavipodozi mengi.
Ina viambata vingi kiasi kwamba ukisema ununue kila kimoja peke yake utajikuta unanunua bidhaa zaidi ya 5.
Lowesha uso
Tumia kiasi kidogo cha cleanser
Sugua kwa upole sekunde 20–30
Osha kwa maji
Kausha kwa upole
Paka mafuta yako unayotumia kila siku
ASUBUHI NA JIONI
◐
Chagua sehemu unayoishi hapo chini
Unaweza kuagiza bidhaa kwa delivery hata kama huwezi kufika ofisini.
Haijalishi una ngozi ya mafuta, sensitive, kavu au ya chunusi, unatumia bila wasiwasi.
Haichubui. Hivyo unatumia bila wasiwasi wa kuharibu ngozi yako kimyakimya.
Tumia asubuhi na jioni.
Sugua uso kwa upole kwa sekunde 20–30, kisha osha kwa maji na ukaushe kwa upole.
Ndiyo. Baada ya kuosha na kukausha uso kwa upole, paka mafuta yako unayotumia kila siku.
Nenda kwenye sehemu ya ofa, kisha chagua kitufe cha Dar Es Salaam au nje ya Dar Es Salaam.
RUDI KWENYE OFA ↑