Cleanser hii ya kuoshea uso
Itakusaidia 
Kupunguza mafuta kama yamezidi 
Kuzibua pores kama zimeziba 
Kuongeza unyevunyevu kwenye ngozi 
Kupunguza na kuua bacteria wa chunusi 
Kupunguza madoa 
Kusafisha ngozi na kuing’arisha 
Kikubwa zaidi… haikaushi ngozi 
Inafaa kwa ngozi aina zote 
Ni rahisi kutumia
Unapaka tuu usoni kidogo kisha unaosha uso
Kwa sekunde 30 hadi 60 tuu