RIPOTI MAALUM YA MADAKTARI WA NGOZI KUHUSU VIPODOZI VINAVYOUZWA TANZANIA

Ndani Ya ripoti hii utaenda kufahamu hivi vitu 6 vifuatavyo

  1. Vipodozi sahihi vya kutumia kulingana na tatizo ulilonalo iwe ni chunusi,madoa,michirizi,etc

  2. Vipodozi sahihi vya kutumia kulingana na aina ya ngozi yako mfano ngozi kavu,ya mafuta, ya chunusi ya mchanganyiko etc

  3. Vipodozi 10 ambavyo vinafaa kuchanganywa au kutumika pamoja ili kuleta matokeo makubwa na kukusaidia usipoteze muda na pesa bila matokeo

  4. Vipodozi 5 ambavyo havipaswi kuchanganywa au kuvitumia pamoja lakini wauza vipodozi wengi hukudanganya uvichanganye au uvitumie pamoja

  5. Vipodozi 5 ambavyo hutakiwi kabisa kuvitumia lakini watu wengi wanavitumia kila siku bila kujua

  6. Dalili 10 za hatari zinazoonesha kua unatumia vipodozi vikali ata kama umeambiwa hicho kipodozi ni salama au haujaanza kuona madhara kwa sasa

JINSI YA KUIPATA RIPOTI HII BUREE

Jaza Taarifa zako Hapo Chini ili kutumiwa ripoti hii buree  whatsapp

NOTE: Hakuna ujanja ujanja wala kuungwa kwenye group lolote 

Utatumiwa ripoti yako ndani ya sekunde 15 tuu

@WHO 2025

Order NOW!

Product
Price