PATA RANGI MOJA YA KITAJIRI USONI

Isiyo Na Chunusi,Madoa,Mikunjo Wala Kasoro Yoyote

Hata Kama Ngozi Yako Ni Korofi Imegoma Kutakata
🔥🔥🔥

AGIZA LEO

🎁 Utapewa Zawadi Ya Facewash Bure

🚚 Delivery Ni Bure

💰 Lipa Ukipokea Mzigo

Unahisi Ngozi Yako Ya Uso Imeshindikana??

❌ Chunusi zinajirudia mara kwa mara

❌ Madoa yamegoma kuisha

❌ Uso una rangi mbili zisizofanana

❌ Wekundu hauishi usoni

❌ Ngozi imefubaa na imekosa nuru

❌ Ngozi ni kavu, ngumu na imekakamaa

❌ Mikunjo inakufanya uonekane mzee kabla ya umri wako

❌ Kila unachopaka kinakuwasha au kukuchoma

Umechoka Kubadili Vipodozi Kila Mara Ukitafuta Matokeo??

Leo cream hii…

Kesho sabuni ile…

Wiki ijayo serum nyingine…

Kila bidhaa unaambiwa ndiyo suluhisho la matatizo yako ya ngozi.

Unaweka matumaini makubwa…

Lakini baada ya muda unajikuta bado una matatizo yale yale.

Unaishia Kupoteza Pesa Tuu

Kuendelea Kubadili Vipidozi Kila Siku Haitakusaidia Kwasababu

Shida Sio kupata kipodozi

Shida ni kupata kipodozi sahihi

Chenye viambata vyote 05 muhimu

Kwa Bei ambayo ni Rafiki

Hii Ndio Bidhaa Pekee Unayohitaji SKNFX BARRIER REPAIR GER

Itakusaidia

✔ Kutibu chunusi na kufuta Madoa

✔ Kuondoa weusi mashavuni na chini ya macho

✔ Kuondoa wekundu mashavuni

✔ Kuondoa mikunjo

✔Kukupa ngozi yenye afya na nuru

Usiamini Maneno Yetu Tuu !!! Hawa Ni baadhi Ya Wateja Wetu

Hivi Ndio Vitu 06 Vinavyoifanya Bidhaa Hii Kukupa Matokeo Ya Uhakika

1.Ceramides,lipids,
cholesterol

Hujenga upya ngozi iliyoharibiwa na chunusi vipodozi,jua n.k

2.Hyaluronic Acid

Huongeza unyevu kwenye ngozi kavu

3.Niacinamide

Hung’arisha ngozi na kubalance mafuta

4.Vitamin C

Hung’arisha ngozi Iliyofubaa na kufuta madoa

5.Pethanol,B glucan

Hutuliza na kupoza ngozi na kusaidia kutibu chunusi

6.Peptides

Huondoa mikunjo usoni

Hawa Ni Wateja Wetu Wengine Walikua Na Haya Ya Kusema

Hizi Ndio Sababu 4 Wanawake wengi wanatumia bidhaa hii

1.Haichubui

Hivyo unatumia bila wasiwasi wa kuharibu ngozi yako kimyakimya

2.Haibagui ngozi

Haijalishi una ngozi ya mafuta,sensitive,kavu au ya chunusi unatumia bila wasiwasi

3.Inaokoa sana Muda

Hasa kama unatamani kutunza ngozi yako lakini huna muda wa kukaa kupaka mavipodozi mengi

4.Inaokoa sana Pesa

Ina viambata vingi kiasi kwamba ukisema ununue kila kimoja peke yake utajikuta unanunua bidhaa zaidi ya 5

Jinsi Ya Kutumia

Unapaka usoni usiku au mchana

Ukihitaji matokeo ya haraka unaweza kupaka mara mbili kwa siku

OFA YA LEO

Bei Ya Ofa Ni 35,000 Tuu

Badala Ya 55,000/=

Unapata Chupa Ya Kutumia Miezi 2 Hadi 3

Pia Kuna Zawadi Ya Sabuni Maalum Kwa Watu 10 Tuu Watakao Agiza Leo

Sabuni Hii Itakusaidia 

1.Kufyonza Sumu Za Vipodozi Vikali Usoni

2.Kupunguza mafuta na chunusi

3.Kung’arisha ngozi

Bei Yake Hua ni 25,000/=

Lakini Kama Ukiwahi Utapewa BUREE!!!