SKNFX Skin Barrier Questionnaire
Hatua 1 kati ya 12

Ili uweze kupata suluhisho sahihi zaidi linalokufaa

Jibu maswali machache rahisi Ndani Ya Sekundu 10 Tuu Utakua Umeyamaliza!!

Swali 1 kati ya 2

Ni dalili gani inakusumbua zaidi?

Unaweza kuchagua zaidi ya moja

Kutokana na dalili ulizochagua

Inaonekana ukuta unaolinda ngozi yako umebomoka

🧱 〽 🧱

Ukuta huo unapobomoka husababisha mambo 03

Ukuta unapobomoka

01 Chunusi na vipele vya mara kwa mara

Kwa sababu ngozi inakuwa haina ulinzi, hivyo wadudu huingia kwa urahisi.

02 Ukipaka kitu kinawasha au kuchomachoma

Kwa sababu bila ulinzi juu ya ngozi, vipodozi huingia ndani zaidi ya ngozi hata ambako havitakiwi kufika na kukusababishia muwasho na wekundu.

03 Uso unakuwa mkavu, ngozi inakakamaa

Ukuta unaolinda ngozi hufanya kazi kama kifuniko kinachozuia maji kupotea. Hivyo unapokuwa umebomoka, maji hupotea kwa urahisi.

Swali 2 kati ya 2

Kabla hujajua kosa hilo, jibu swali hili

Kama ukuta wa nyumba yako umebomoka, unadhani kipi kitafanya ukuta uwe imara na usiharibike tena?

Sasa kwanini ukuta unaolinda ngozi yako ukibomoka, unakimbilia kuupaka rangi tuu?

Cream Scrub Lotion Sabuni Serum

Kwa kuhangaika na cream, scrub, lotion, sabuni na serum za kung’arisha ngozi, kufuta madoa n.k.

Badala ya kuujenga upya?

Ili kujenga upya ukuta unaolinda ngozi yako unahitaji vitu 04 tuu

Kujenga ukuta unaolinda ngozi

Ni sawa tuu na kujenga ukuta wa nyumba

Unahitaji hivi viambata vifuatavyo

01

Ceramides

Ceramides kwenye ukuta wa ngozi ni sawa na matofali kwenye ukuta wa nyumba.

02

Cholesterol

Cholesterol ni sawa na cement. Hufanya kazi ya kushikilia matofali ya kwenye ngozi, yani ceramides, yawe imara.

03

Hyaluronic acid

Hyaluronic acid ni sawa na maji. Husaidia cement na matofali, yani cholesterol na ceramides, kushikana vizuri.

04

Panthenol

Panthenol ndio fundi mwenyewe. Husaidia kupanga kila kitu kinapotakiwa na kuchanganya cement na maji pamoja.

Kama unajiuliza utapata wapi hivyo viambata vyote…

Ukisema ununue kila kiambata pekee yake utatumia zaidi ya 100,000/=

Badala yake, nunua hii bidhaa moja ya SKNFX Baobab Skin Barrier Repair Gel yenye hivyo viambata vyote muhimu.
SKNFX Baobab Skin Barrier Repair Gel na viambata vyake
Ceramides Cholesterol Hyaluronic acid Panthenol

Haya ndio matokeo utakayoyapata ukitumia

Siku
1–3

Ngozi itakuwa na unyevu wa kutosha na itaacha kukaza na kukakamaa.

Siku
7–14

Ukavu, kuwasha na kuchomachoma kutapungua na kuisha kabisa.

Wiki
3–4

Ngozi itakuwa soft na utaweza kupaka vipodozi vingine bila shida.

Wiki
4–8+

Ngozi itaanza kuwa na rangi moja ya kuvutia, yenye mng’ao wa asili.

Bado unahisi matokeo haya ni ya uongo???

Hawa ni baadhi ya watu 06 walioitumia

Bei yake huwa ni 65,000/=

35,000/=
Usafiri buree

Pia watu 10 watakao wahi watapewa bonge la zawadi.

Watu 10 watakao wahi watapewa Hii facewash buree yenye thamani ya 25,000/=

Facewash ya zawadi

Facewash hii itakusaidia

1Kufyonza sumu za vipodozi vikali usoni
2Kupunguza mafuta na chunusi
3Kung’arisha ngozi

Haichubui na inatumika kwa ngozi aina zote

✓ Haichubui
75ml
Miezi 02

Yani kopo moja unatumia miezi 02

SKNFX Baobab Skin Barrier Repair Gel

Kama unahitaji kuwahi ofa hii

Yani ulipe 35,000/= tuu badala ya 65,000/= na upate zawadi ya facewash buree.

Chagua eneo ulilopo uagize leo hii

Tunapatikana Kariakoo, Dar
Mtaa wa Kariakoo na Jangwani
0719040574