HIKI NDICHO HUTOKEA UNAPOTUMIA VIPODOZI VYA KUCHUBUA

Ukiachilia Mbali figo kufeli, ngozi kua nyepesi Na Kupata michirizi

Vipodozi Vinavyochubua husababisha hii hali usoni

Picha nne zinazoonesha hali tofauti za ngozi ya uso

Ni ngumu Sana Kutibu Ngozi Ikishafikia Hii Hatua

Labda Uendelee Kujichubua Tuu

Na Bahati Mbaya Zaidi Itafika Wakati Hakuna Kipako Kitakusaidia

Make up na foundation Zitadunda Pia

Hivyo kama hujaanza kujichubua usijaribuu

Sasa Ili Usije Ukauziwa Vitu Vya Kukuchubua Kwa Kudanganywa Kwamba Vinang’arisha Tuu

Angalia Kama Hicho Kipodozi Kina Hivi Viambata

03

Hydroquinone

Mercury salts

Steroids kama clobetasol propionate

Lakini Kama Kipodozi hicho Hakijaandikwa Kama Kina Hivyo Viambata Sumu

Ukikipaka Utaona Baadhi Ya Hizi Dalili

05

Unaanza Kupata wekundu mashavuni

Uso unawasha na kuchomachoma ukikiacha au ukiwa unakipaka

Kikikaribia kuisha au ukikiacha uso unafubaa unahisi kimekukataa

Wakati mwingine unapata rashes, vipele chunusi n.k

Kama ni mwilini unapata sugu na michirizi

Ukiona baadhi Ya Hizo Dalili Acha Mara Moja Kabla Hali haijawa mbaya

KAMA WEWE NI MWEUSI NA UNAHITAJI KUNG'AA BILA KUJICHUBUA HII NDIO BIDHAA PEKEE UNAYOHITAJI

Bidhaa Hii Inaitwa SKNFX BARRIER REPAIR GEL Na ina viambata 05 muhimu

Na Ina Matokeo Mazuri!!

Usiamini Maneno Yetu Tuu !!! Hawa Ni baadhi Ya Wateja Wetu

Hizi Ndio Sababu 4 Wanawake wengi wanatumia bidhaa hii

Haichubui

Hivyo unatumia bila wasiwasi wa kuharibu ngozi yako kimyakimya

Haibagui ngozi

Haijalishi una ngozi ya mafuta, sensitive, kavu au ya chunusi unatumia bila wasiwasi

Inaokoa sana Muda

Hasa kama unatamani kutunza ngozi yako lakini huna muda wa kukaa kupaka mavipodozi mengi

Inaokoa sana Pesa

Ina viambata vingi kiasi kwamba ukisema ununue kila kimoja peke yake utajikuta unanunua bidhaa zaidi ya 5

Jinsi Ya Kutumia

Unapaka usoni usiku au mchana

Ukihitaji matokeo ya haraka unaweza kupaka mara mbili kwa siku

OFA YA LEO

Bei Ya Ofa Ni 35,000 Tuu

Badala Ya 55,000/=

Unapata Chupa Ya Kutumia Miezi 2 Hadi 3

Pia Kuna Zawadi Ya Sabuni Maalum Kwa Watu 10 Tuu Watakao Agiza Leo

Sabuni Hii Itakusaidia

Kufyonza Sumu Za Vipodozi Vikali Usoni

Kupunguza mafuta na chunusi

Kung’arisha ngozi

Bei Yake Hua ni 25,000/=

Lakini Kama Ukiwahi Utapewa BUREE!!!

TUNAPATIKANA

Kariakoo, Dar Es Salaam

Mtaa Wa Kariakoo Na Jangwani