Utakuja Ofisini Kariakoo Na Ofisi Itaingia Gharama
Kuhakikisha unapimwa uso ili Kama Una Tatizo lingine Lijulikane
Gharama Ya Kupimwa Uso KITAALAMU Hua ni 25,000/=
Lakini Hii Italipwa Na Ofisi Usipoona Matokeo
Pia Kama Utaandikiwa Vipodozi Vingine Ofisi Itachangia 15,000/=
So wewe Bado Hautapata Hasara Yoyote