KAMA UNA BAADHI YA HIZI DALILI 05 TATIZO LAKO SIO HUO WEKUNDU/WEUSI UNAO UONA KWA NJE TUU!!!

  1. Ukipigwa Jua Kidogo Wekundu unaongezeka??
  2. Unatumia cream wekundu unapungua ukiacha tuu unarudi tena??
  3. Unapaka Kipodozi kinakusaidia mwanzoni baadae kinakukataa tatizo linarudi??
  4. Wakati mwingine ngozi inawasha na kuchomachoma??
  5. Wakati mwingine unapata chunusi,vipele,mba na utangotango ambao haueleweki

Kama Una Baadhi Ya Hizo Dalili 05

Tatizo Lako kubwa Sio huo Wekundu/Weusi unao uona kwa nje

Ila Ni Msingi Wa Ngozi Yako Ndio Umeharibika

Kuhangaika Na Vipodozi Vya Kung'arisha na Kufuta wekundu/weusi haraka ni sawa na kupaka rangi Ukuta wa nyumba uliopasuka

Kila siku

Utakua unaishia kupata matokeo mazuri mwanzoni tuu

Lakini baada ya muda

Tatizo linarudi au linazidi kua sugu zaidi

Kwasababu unahangaika kuipamba ngozi kwa nje

Bila kujenga upya msingi wa ngozi ulioharibika

Wengi Wanapoona Wekundu/Weusi umerudi Tena au Umezidi Kua Sugu Hufanya Hili Kosa Moja Kubwa Zaidi!!

Wengi hudhani kwamba kipodozi walichonunua

Kimewakataa au ni feki

Hasa Kama cha mwanzo kili msaidia

Bila kujua kwamba kilikua kinaficha tuu Tatizo

Huku kikitengeneza Tatizo sugu zaidi Kimyakimya

Hurudi dukani na kuuziwa kipodozi kingine

Kikali zaidi

Nacho hufanya vizuri mwanzoni

Lakini huharibu zaidi ngozi

Matokeo yake ndio wekundu/weusi unaanza kua sugu

Suluhisho La Kudumu Ni Kujenga Msingi Wa Ngozi Yako Kwanza Wala sio kuhangaika na kung'arisha/kufuta wekundu na weusi haraka

Ukifanya hivi

Wekundu na weusi utaisha na hautarudi tena

Utapata Matokeo Mazuri Na ya kudumu

Huyu Ni Mmoja Kati Ya Wateja wetu wengi Ambae alikubali kujenga upya Msingi wa ngozi yake na alipata haya matokeo ndani ya siku 30!!

HIZI NDIO BIDHAA 02 TUU TULIZOMPATIA ILI KUMPA HAYO MATOKEO

1.Sabuni Maalum ya kufyonza sumu za cream kali na kuondoa uchafu na mafuta

2.Mafuta Dawa Maalum kwa ajili Ya Kujenga upya ngozi na kuondoa wekundu na weusi jumla

JUMLA YA GHARAMA ZOTE
Seti Nzima 65,000/=

LAKINI LEO HII SETI YA VITU 02 UTAIPATA KWA 35,000/= TUU

Kwasababu Tunamalizia SETI 10 Zilizobaki
Hivyo Kuwahi kwako Ndio Kupata Kwako!!

KAMA UNAHITAJI SETI HII LEO NA UPO DAR ES SALAAM

KAMA UNAHITAJI SETI HII LEO NA UPO MKOANI