KOSA KUBWA UNALOFANYA NI KUTUMIA VIPODOZI AMBAVYO HUFICHA TATIZO BADALA YA KULITIBU

Ni sawa na ukuta wa nyumba yako umepasuka

Alaf wewe badala ya kuujenga upya

Unahangaika kuung’arisha na kuupendezesha kwa kuupaka rangi kwa juu tuu

Mwanzoni ukuta utaonekana ni mzuri  kwa nje

Kumbe kwa ndani umepasuka na kadiri siku zinavyozidi kwenda

Ule ufa unazidi kuongezeka

Na Tatizo linazidi kua kubwa zaidi

Unapotumia Hivyo vipodozi Utaona Baadhi Ya Hizi Dalili 05

1.Ukipigwa jua tuu wekundu unaongezeka

2.Kipodozi kilikusaidia lakini ulipoacha tuu kukitumia tatizo likarudi

3.Uso una washa sana ukipaka chochote

4.Ngozi imekua Sensitive

5.Kipodozi kilikukubali Mwanzoni tuu baada kikakukataa tatizo likazidi

Suluhisho La Kudumu Ni Kujenga Upya ngozi yako iliyoharibika

Ukifanya hivi

Wekundu na weusi utaisha na hautarudi tena

Utapata Matokeo Mazuri Na ya kudumu

Wengi watakupostia Picha kama Hizi

Ata Kama sio Zao

Mara Nyingi Huiba Mtandaoni Tuu

Ndio Maana

Leo tumeamua Kukupa Hii Story kamili

Ya mmoja tuu kati ya wateja wetu zaidi ya 500 ambao tumewasaidia Tayari

KAMA UNANAFASI UNAWEZA KUISOMA HADI MWISHO

HIVYI NDIO VITU TULIVYOMPATIA ILI KUJENGA UPYA MSINGI WA NGOZI YAKE

1.Sabuni Maalum ya kufyonza sumu za cream kali na kuondoa uchafu na mafuta

Bei Yake ni 20,000/= Tuu

2.Mafuta Dawa kwa ajili ya kujenga upya ngozi na kuondoa wekundu na weusi jumla

Bei Yake ni 55,000/= Tuu

SETI NZIMA JUMLA NI 75,000/=

LAKINI LEO HII SETI HII UTAIPATA KWA 35,000/= TUU

Kwasababu Tunamalizia SETI 10 Zilizobaki
Hivyo Kuwahi kwako Ndio Kupata Kwako!!