Itakua vibaya kuzitaja Kwa Majina
Lakini Ukweli ni kwamba
Face cream nyingi na tube za bei rahisi
Zinazouzwa pharmacy hadi 5000
Huondoa wekundu na weusi haraka sana
Lakini unapoacha tuu kuzipaka au baada ya muda
Wekundu na weusi hurudi ukiwa Sugu Zaidi