VIPODOZI HIVYO NI FACE CREAM NA TUBE BAADHI ZA PHARMACY

Itakua vibaya kuzitaja Kwa Majina

Lakini Ukweli ni kwamba

Face cream nyingi na tube za bei rahisi

Zinazouzwa pharmacy hadi 5000

Huondoa wekundu na weusi haraka sana 

Lakini unapoacha tuu kuzipaka au baada ya muda

Wekundu na weusi hurudi ukiwa Sugu Zaidi

Kama Unatumia Vipodozi Na una ona baadhi Ya hizi Dalili 05

1.Ukipigwa jua tuu wekundu unaongezeka

2.Unatumia face cream inakusaidia lakini ukiacha tuu wekundu unarudi na Weusi unaongezeka

3.Uso una washa sana ukipaka chochote

4.Ngozi imekua Sensitive

5.Unapaka face cream inakukubali mwanzoni tuu alaf baadae inakukataa

Hizo ni dalili kwamba msingi wa Ngozi yako umeharibika

Msingi Wa Ngozi Unapokua Umeharibika Hakuna Kipodozi Utapaka Kikupe Matokeo Mazuri!!!

Sio kwasababu vipodozi ni vibaya au havifanyi kazi

Ni kwasababu havitibu tatizo kubwa ulilo nalo

Unakua unahangaika kujenga nyumba ya gharama kwenye msingi mbovu

Suluhisho La Kudumu Ni Kujenga Msingi Wa Ngozi Yako Kwanza

Ukifanya hivi

Wekundu na weusi utaisha na hautarudi tena

Utapata Matokeo Mazuri Kama Mmoja kati ya Wateja wetu wengi

Tunaowasaidia Kila siku

Wengi watakupostia Picha kama Hizi

Ata Kama sio Zao

Mara Nyingi Huiba Mtandaoni Tuu

Ndio Maana

Leo tumeamua Kukupa Hii Story kamili

Ya mmoja tuu kati ya wateja wetu zaidi ya 500 ambao tumewasaidia Tayari

KAMA UNANAFASI UNAWEZA KUISOMA HADI MWISHO

HIVYI NDIO TULIVYOFANYA KUMPA HUYU MTEJA HAYO MATOKEO HARAKA

1.Hatua Ya Kwanza Tulimpima Kwanza Uso Wake kujua ukubwa wa Tatizo

2.Hatua Ya Pili Tulimpatia Hii Seti Yetu Yenye Matokeo Ya Uhakika

1.Sabuni Maalum ya kufyonza sumu za cream kali na kuondoa uchafu na mafuta

Bei Yake ni 20,000/= Tuu

2.Mafuta Dawa kwa ajili ya kujenga upya ngozi na kuondoa wekundu na weusi jumla

Bei Yake ni 55,000/= Tuu

JUMLA YA GHARAMA ZOTE
Vipimo 20,000/=
Seti Nzima 75,000/=
JUMLA ALILIPIA 95,000/=

LAKINI LEO HII SETI HII UTAIPATA KWA 35,000/= TUU

Kwasababu Tunamalizia SETI 10 Zilizobaki
Hivyo Kuwahi kwako Ndio Kupata Kwako!!