KUTIBU CHUNUSI, MADOA N.K. BILA KUPIMA USO

NI SAWA NA

KUTEMBEA GIZANI BILA TOCHI!!

Utaishia kuharibu uso zaidi ukidhani unatibu tatizo.

UNAHISI USO WAKO UMESHINDIKANA??

Chunusi zinajirudia mara kwa mara

Madoa yamegoma kuisha

Na yakiisha, ukiacha tuu cream, yanarudi

Wekundu hauishi usoni

Hata ukipungua, ukiacha tuu cream, wekundu unarudi tena

Ukipigwa na jua kidogo tuu, wekundu unaongezeka zaidi

Uso una rangi mbili zisizofanana

Ngozi imefubaa na imekosa nuru

Mikunjo na makunyanzi yanakufanya uonekane mzee kabla ya umri wako

Uso ni mkavu sana hadi unakakamaa

Mafuta usoni hayaishi

KILA UKIJARIBU VIPODOZI

AMBAVYO WENZAKO VIMEWASAIDIA

HUPATI MATOKEO AU UNAISHIA:

Kuwashwa na kuchomachomwa

Uso kupata wekundu

Kupata chunusi, rashes na vipele zaidi

Kupoteza pesa huku ngozi ikizidi kuharibika

Unabaki kujiuliza:

Ngozi yangu ina shida gani?

Kwa nini kila kipodozi kinanikataa?

KUMBE

Ni kwa sababu unatibu ngozi yako kwa kubahatisha.

SASA ILI USIENDELEE KUBAHATISHA KWENYE NGOZI YAKO

INATAKIWA UIJUE NGOZI YAKO NJE NA NDANI

NJE Unachoweza kuona kwa macho
NDANI Taarifa zinazohitaji kipimo

Ni rahisi sana kuijua ngozi yako kwa nje.

Kwa sababu matatizo yaliyo juu ya ngozi kama chunusi, mikunjo na madoa yanaonekana kwa urahisi hata kwa macho ya kawaida.

Lakini mafanikio ya vipodozi vya kutibu matatizo hayo hutegemea hali ya ndani ya ngozi, yaani vitu kama:

01

Je, ngozi ni ya aina gani?

02

Je, ngozi ina unyevu wa kutosha?

03

Je, ngozi inazalisha mafuta kiasi gani?

04

Je, mafuta hayo yapo juu au ndani zaidi ya ngozi?

05

Je, ngozi ni imara?

06

Inaweza kuhimili hayo matibabu?

07

Kiwango au dozi gani ya vipodozi itaifaa?

+

Na vitu vingine vingi sana

Bila kufahamu taarifa hizo na nyinginezo nyingi, unaweza kujikuta hata kipodozi kizuri cha gharama kikakuharibu badala ya kukusaidia.

Bahati mbaya, taarifa zote hizo huwezi kuzifahamu kwa kuiangalia tuu ngozi kwa macho.

ACHA KUBAHATISHA

NI LAZIMA UPIME USO KWANZA

Mwanamke wa Kiafrika akipimwa ngozi kwa mashine ya kisasa ya skin analysis
Kipimo cha ngozi kwa mashine maalum
BILA KUPIMA USO

Hutakuwa na tofauti na mtu anayetembea gizani bila tochi.

KIPIMO CHA NGOZI KARIAKOO

KAMA UPO DAR ES SALAAM NA UNAHITAJI KUPIMA USO BEI NI 15,000/= TUU

Tazama baadhi ya video hapo chini uone jinsi kipimo kinavyofanyika, walau kwa ufupi.

Kipimo hakiumi na sehemu ya kupima pekee huchukua chini ya dakika 10.

OFA YA KESHO • WATU 10 TUU
ZAWADI MAALUM

WATU 10 WATAKAOWAHI ZAIDI WATAPEWA HII TUBE KIBOKO YA MADOA BUREE

ZAWADI YA BURE Tube kiboko ya madoa inayotolewa bure kwa watu 10 wa kwanza

Tube hii kawaida huuzwa 25,000/=

WEWE UTAPEWA BUREE

  • Haichubui ngozi
  • Inafaa kwa ngozi aina zote

Zawadi hii ni kwa watu 10 wa kwanza watakaofika kupima uso kesho katika ofisi yetu Kariakoo, Dar es Salaam.

UZOEFU WA WALIOTUMIA

HAWA NI BAADHI YA WATU WALIOTUMIA TUBE HII NA KUONA MATOKEO

Tazama video hizi kwa ufupi uone uzoefu wao baada ya kutumia Tube Kiboko ya Madoa.

KUMBUKA:

Tube hii utapewa BUREE kama tu utakuwa miongoni mwa watu 10 wa kwanza watakaofika kupima uso kesho katika ofisi yetu Kariakoo, Dar es Salaam.

Matokeo yanaweza kutofautiana kulingana na hali ya ngozi na namna bidhaa ilivyotumika.

MATOKEO YA WATEJA

UKIANZA MATIBABU KWA KUPIMA USO MATOKEO NI UHAKIKA

Hawa ni baadhi ya wateja walioanza kwa kupima uso, kupata ushauri na kutumia vipodozi vilivyochaguliwa kulingana na hali ya ngozi zao.

Gusa picha yoyote kuisoma kwa ukubwa zaidi.

TUNAPATIKANA WAPI?

OFISI YETU IPO KARIAKOO, DAR ES SALAAM

Kabla ya kuweka nafasi, hakikisha unaweza kufika katika ofisi yetu Kariakoo.

MAHALI Kariakoo, Dar es Salaam

Mtaa wa Kariakoo na Jangwani

MUDA WA KAZI Saa 3:00 Asubuhi – Saa 12:00 Jioni

Tunahudumia watu 10 tuu kwa siku.

FUNGUA RAMANI UPATE MAELEKEZO

Ramani itafunguka kwenye Google Maps.

Ofa ya kupima uso na kupata Tube Kiboko ya Madoa bure ni kwa watu wanaoweza kufika ofisini Kariakoo, Dar es Salaam.

OFA YA KESHO • WATU 10 TUU

KAMA UNAHITAJI KUPIMWA USO KWA 15,000/= NA UPATE TUBE KIBOKO YA MADOA BUREE

Jaza fomu hapo chini kuweka nafasi yako.

Kumbuka, ofa hii ni kwa watu 10 tuu watakaofika kesho katika ofisi yetu Kariakoo, Dar es Salaam.

KAMA HUWEZI KUFIKA OFISINI KARIAKOO USIJAZE FOMU
JAZA FOMU KUWEKA NAFASI

HUWEZI KUFIKA OFISINI KARIAKOO LAKINI UNAHITAJI HII TUBE PEKEE?

Bonyeza kitufe hapo chini kuagiza kupitia WhatsApp.

BONYEZA HAPA KUAGIZA TUBE PEKEE KWA 25,000/= TUU
MASWALI YA MARA KWA MARA

UNA SWALI KUHUSU KIPIMO CHA NGOZI?

Bonyeza swali lolote hapo chini kuona jibu lake.

01 Je, kipimo cha ngozi kinauma?

Hapana. Kipimo cha ngozi hakiumi.

02 Kipimo kinachukua muda gani?

Sehemu ya kupima uso huchukua chini ya dakika 10. Mazungumzo na ushauri kutoka kwa mtaalamu yanaweza kuchukua muda zaidi.

03 Bei ya kupima uso ni kiasi gani?

Bei ya kupima uso na kupata ushauri ni 15,000/= tuu.

04 Ni lazima ninunue bidhaa baada ya kupima?

Hapana. Si lazima kununua bidhaa. Unaweza kulipia 15,000/= tuu, ukapima uso na kushauriana na mtaalamu bila kununua bidhaa nyingine.

05 Ni nani atakayepata Tube Kiboko ya Madoa bure?

Tube itatolewa bure kwa watu 10 wa kwanza watakaofika kupima uso kesho katika ofisi yetu Kariakoo, Dar es Salaam.

06 Je, nahitaji kuweka nafasi kabla ya kuja?

Ndiyo. Jaza fomu kwanza ili tuweze kukuweka kwenye orodha. Tunahudumia watu 10 tuu kwa siku ili tuweze kuwahudumia vizuri.

07 Je, wateja wa mikoani wanahusika na ofa hii?

Hapana. Ofa ya kupima uso na kupata tube bure ni kwa watu wanaoweza kufika katika ofisi yetu Kariakoo, Dar es Salaam.

08 Naweza kuagiza Tube Kiboko ya Madoa bila kufika ofisini?

Ndiyo. Kama huwezi kufika Kariakoo lakini unahitaji tube pekee, unaweza kuagiza kupitia kitufe cha WhatsApp kilichopo kwenye sehemu ya ofa.

09 Ofisi ipo wapi?

Ofisi yetu ipo Kariakoo, Dar es Salaam, Mtaa wa Kariakoo na Jangwani.

FUNGUA GOOGLE MAPS
10 Ofisi ipo wazi muda gani?

Ofisi ipo wazi kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni.

PIMA USO
15,000/= + Tube Buree
ANGALIA OFA